Video: Sijawahi kumwona James Mbatia akiwa amekasirika hivi! Kisa? Ni OCD wa Ilala kuzuia kufanyika kikao cha kamati kuu ya NCCR eti ni amri toka juu!

Keshawauza ukawa bungeni sana! Nikisema nitoe hapa itakua noma! Nina ushahid kama wote yaani enzi za Magufuli
Ndio maana nasema nchii upinzani ni chadema tu maana hivyo vyama vyengine vyote vinatuhumiwa kutumika na serikali na vyengine kuwa vimeanzishwa na ccm kabisa,hao viongozi wa hivyo vyama wote wanaonekana wanafki hutumika ccm.
 
Hebu kila mtu ajaribu kufikiri na kutafakari haya;

1. Leo tarehe 28/8/2021 NCCR MAGEUZI kilikuwa na kikao cha ndani cha kamati kuu yao yenye wajumbe 30 tu katika ukumbi wa Msimbazi Centre, DSM. Kisheria vikao vya kikatiba vya vyama ni vya ndani, havihitaji kuvitolea taarifa yoyote polisi..!

2. Polisi wakazinyaka taarifa za kikao hicho. OCD wa Ilala kwa maelezo yake kuwa ni "AMRI TOKA JUU", akakizuia kikao hicho..

3. Kuhakikisha hakifanyiki, OCD huyu akakusanya na kutuma lundo la askari wenye bunduki, Magari ya deraya, mabomu ya machozi na kuzingira ukumbi huo. Wakawatisha wamiliki wa ukumbi huo kuwa, kwa usalamà wao, ole wao waruhusu NCCR MAGEUZI wafanye kikao chao hapo..!

3. Uongozi wa chama ukafanya juhudi zote kuwasiliana na uongozi wa jeshi la polisi ili kujua kulikoni mambo haya kwenda hivi...

Sasa cheki kilichotokea na ambacho ndicho hasa kiini au chanzo cha ugaidi Tanzania...

Wakawasiliana na;

å OCD wa Ilala aitwaye Deborah kwa simu, lakini hakupokea simu wala kujibu text msg...!!

Sasa assume angekuwa anapewa taarifa za "gaidi" Hamza halafu kamanda hapokei simu, ingekuwaje...?

å Naye RPC wa kanda maalumu ya DSM Afande Muliro akapigiwa simu lakini naye hakupokea simu ya James Mbatia wala kujibu text msg zake...!!

Pia hebu tu - assume angekuwa anapewa taarifa za ugaidi ubalozi wa USA, ingekuwaje eti...?

å Naye IGP Simon Sirro alipigiwa simu, lakini kama wengine hakupokea simu wala kujibu text msg za James Mbatia...!!

Sasa assume, angekuwa anapewa taarifa kuwa Central Police Station na Ikulu inataka kulipuliwa na mabomu, ingekuwaje eti...?

å Waziri wa mambo ya ndani Ndg Simbachawene ndiye alipokea simu ya James Mbatia. Kwa mshangao akasema hajui lolote kuhusu hilo wala hajaagiza hilo...!! Akaahidi kulitatua mara moja. Tangu asubuhi hadi saa 7 mchana alikuwa hajatatua lolote...!!

SASA HEBU ENDELEA KUFIKIRI KIDOGO TU;

Kuwa, hawa polisi kinyume cha taratibu na sheria kabisa;

å Wanazuia kikao halali cha kikatiba cha chama cha siasa halali BILA SABABU YOYOTE...

å Maafisa wakubwa Wa polisi, wanatoa amri za kijinga zilizo kinyume cha sheria kwa polisi wadogo ambao kazi yao ni kutii amri tu, kisha wakawapa silaha; bunduki, mabomu ili wapambane na raia walio kwenye shughuli zao halali na wasio kuwa na kosa lolote...

å Baada ya hapo, hawa maafisa wa ngazi za juu [watoa amri kwa askari wadogo] wa TanPol, wakakata mawasiliano yao kwa kuzima simu zao kabisa na wao wenye kujificha..!!

Hii unadhani maana yake ni nini? Je, huu siyo ugaidi wenyewe halisi..?

4. Sasa bwana, M/kiti wa NCCR Mageuzi ndugu James Francis Mbatia, hapa amekasirika kweli kweli.

Honestly, mimi sijawahi kumwona huyu mzee na hasira za namna kiasi cha kutamka maneno magumu kiasi kile...!!
Ngoja tuendelee kufunga balozi tu
 
Ndio maana nasema nchii upinzani ni chadema tu maana hivyo vyama vyengine vyote vinatuhumiwa kutumika na serikali na vyengine kuwa vimeanzishwa na ccm kabisa,hao viongozi wa hivyo vyama wote wanaonekana wanafki hutumika ccm.
Bado hakuna upinzani imara nchini..usinidanganye kuhusu chadema tena huwa viongozi wenyewe ndiyo wasalit...najua nachoongea.
 
Hebu kila mtu ajaribu kufikiri na kutafakari haya;

1. Leo tarehe 28/8/2021 NCCR MAGEUZI kilikuwa na kikao cha ndani cha kamati kuu yao yenye wajumbe 30 tu katika ukumbi wa Msimbazi Centre, DSM. Kisheria vikao vya kikatiba vya vyama ni vya ndani, havihitaji kuvitolea taarifa yoyote polisi..!

2. Polisi wakazinyaka taarifa za kikao hicho. OCD wa Ilala kwa maelezo yake kuwa ni "AMRI TOKA JUU", akakizuia kikao hicho..

3. Kuhakikisha hakifanyiki, OCD huyu akakusanya na kutuma lundo la askari wenye bunduki, Magari ya deraya, mabomu ya machozi na kuzingira ukumbi huo. Wakawatisha wamiliki wa ukumbi huo kuwa, kwa usalamà wao, ole wao waruhusu NCCR MAGEUZI wafanye kikao chao hapo..!

3. Uongozi wa chama ukafanya juhudi zote kuwasiliana na uongozi wa jeshi la polisi ili kujua kulikoni mambo haya kwenda hivi...

Sasa cheki kilichotokea na ambacho ndicho hasa kiini au chanzo cha ugaidi Tanzania...

Wakawasiliana na;

å OCD wa Ilala aitwaye Deborah kwa simu, lakini hakupokea simu wala kujibu text msg...!!

Sasa assume angekuwa anapewa taarifa za "gaidi" Hamza halafu kamanda hapokei simu, ingekuwaje...?

å Naye RPC wa kanda maalumu ya DSM Afande Muliro akapigiwa simu lakini naye hakupokea simu ya James Mbatia wala kujibu text msg zake...!!

Pia hebu tu - assume angekuwa anapewa taarifa za ugaidi ubalozi wa USA, ingekuwaje eti...?

å Naye IGP Simon Sirro alipigiwa simu, lakini kama wengine hakupokea simu wala kujibu text msg za James Mbatia...!!

Sasa assume, angekuwa anapewa taarifa kuwa Central Police Station na Ikulu inataka kulipuliwa na mabomu, ingekuwaje eti...?

å Waziri wa mambo ya ndani Ndg Simbachawene ndiye alipokea simu ya James Mbatia. Kwa mshangao akasema hajui lolote kuhusu hilo wala hajaagiza hilo...!! Akaahidi kulitatua mara moja. Tangu asubuhi hadi saa 7 mchana alikuwa hajatatua lolote...!!

SASA HEBU ENDELEA KUFIKIRI KIDOGO TU;

Kuwa, hawa polisi kinyume cha taratibu na sheria kabisa;

å Wanazuia kikao halali cha kikatiba cha chama cha siasa halali BILA SABABU YOYOTE...

å Maafisa wakubwa Wa polisi, wanatoa amri za kijinga zilizo kinyume cha sheria kwa polisi wadogo ambao kazi yao ni kutii amri tu, kisha wakawapa silaha; bunduki, mabomu ili wapambane na raia walio kwenye shughuli zao halali na wasio kuwa na kosa lolote...

å Baada ya hapo, hawa maafisa wa ngazi za juu [watoa amri kwa askari wadogo] wa TanPol, wakakata mawasiliano yao kwa kuzima simu zao kabisa na wao wenye kujificha..!!

Hii unadhani maana yake ni nini? Je, huu siyo ugaidi wenyewe halisi..?

4. Sasa bwana, M/kiti wa NCCR Mageuzi ndugu James Francis Mbatia, hapa amekasirika kweli kweli.

Honestly, mimi sijawahi kumwona huyu mzee na hasira za namna kiasi cha kutamka maneno magumu kiasi kile...!!
Msimbazi Centre ni KITUO KITAKATIFU KWA wakaoliki na ni kama KANISA KATOLIKI.
Msimbazi Centre sehemu inaishi mapadre na watawa wengi, kweli ni sehemu ya kupeleka magari ya deraya nasilaya nzito dhidi ya watu wenye kalaamu na dayari moja moja?

WAKOLONI warudi tu, maana mkoloni mweusi ni mbaya kuliko mweupe.
 
Ni polisi mayai mayai saana, aibu sana

Kwenye raia wasio na bunduki wanakuja fasta. ...ila wakisikia pu pu pu...wanachelewa

Kwa uonevu huu, watatokea Hamza wengi sana.

Hata kwa kisu, watanyang'anywa silaha tu
Hii kauli yako ni mbovu kuliko.....Hebu jivike UPENDO kuna maisha mengine baada ya uhai wa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom