Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Huu ukatili hauna tofauti na ule aliofanyiwa Mwangosi hapa Bongo.
US yahuyu Kenge Turampet wabaguzi wawazi wazi kabisaUbaguzi ni suala binafsi na hulka ya mtu na si sera ya taifa lolote,Jamii yeyeto isiyofanana Ina silika ya kubaguana kidini,kirangi, kiimani,kiitikadi nk
Mbn hivyo kakaVipi umewahi hoji kwenye chama chako policcm waliomuuwa aquilini, Allen Mbeya kwann wanaendelea na kazi.