Hollyreath
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 126
- 12
Habari wapendwa, mimi ni binti wa miaka 22, nipo Arusha. Nina uzoefu wa miaka miwili ya kufanya video shooting and editing. Kwa sasa Natafuta kazi Hiyo.
Tafadhali msaada
Tafadhali msaada
labdaaaa, umesomea hio kazi?
Unatumia software gani?...
Weka sample ya kazi zako..
for video editing natumia adobe premier sc3 na for graphics natumia adobe Photoshop sc3 na Corel draw x
Hollyreath nadhani umeanzisha uzi 4 fun. nimeku pm unitafute upo kimya. Ulitakaje hasa?
Kwa adobe cs 3 lzm akuzingue