bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,211
Ili basi limekua likitembea kwa over speed na vyombo vya usalama viko kimya,acheni kuweka roho za watanzania rehani
Taarifa imefika
Raia mwema na mwana ccm mfuu
HahahahahaVideo unsupported
HatareeeeeHahahahaha
80+ kphHivi over speed huwa ni ngapi?
Ili basi limekua likitembea kwa over speed na vyombo vya usalama viko kimya,acheni kuweka roho za watanzania rehani
Taarifa imefika
Raia mwema na mwana ccm mfuu
kwann mkuuAlsaedyhighclass, haya bhana lakini hiyo vita unayoianzisha sijui kama utaiweza
Juma tatu nilipeleka madogo shule Moshi kurudi nikatembea 120+ nikaambiw mbele kuna tochi nikapunguz hadi 60 chaajabu nikaambiw nipo over speed lile tochi linarekodi vp mwenye ujuzi80+ kph
Wakifa hua hatutoi taarifaAcheni kuharibu biashara za watu!
Juma tatu nilipeleka madogo shule Moshi kurudi nikatembea 120+ nikaambiw mbele kuna tochi nikapunguz hadi 60 chaajabu nikaambiw nipo over speed lile tochi linarekodi vp mwenye ujuzi
Duh balaa ok mkuuLile torch linarecord hata ukiwa umbali mrefu from the torch ndo maaana ukifika pale wanakuambia umeendesha overspeed ingawa ulikuwa umeshapunguza speed up to 60 walishakurecord kabla hujapunguza!
Ulitakiwa uwe speed 50 wewe ulikuwa speed over 50 ndiyo maana ukaambiwa umeoverspeed. Mahali pa kwenda speed 50 wewe ukiwa 60 umeoverspeedJuma tatu nilipeleka madogo shule Moshi kurudi nikatembea 120+ nikaambiw mbele kuna tochi nikapunguz hadi 60 chaajabu nikaambiw nipo over speed lile tochi linarekodi vp mwenye ujuzi