Video: Sasa nazidi kuielewa kauli ya Rais “endeleeni kufyatua kwa kasi”, kama bado unaamini misaada toka kwa wazungu ni kwa sababu ya upendo

Kama kuna mtu bado anaamini sera na misaada ya wazungu juu ya waafrika ni kwa sababu wanatupenda sana basi angalia hii video.

Huyu mzungu alikuwa ni mtu wa ndani kabisa katika serikali ya kibeberu na anasema wazi kwamba misaada waliyotoa kuanzia mwaka 1990 hadi 2000 kwa Afrika ilikuwa ni karibu trillion 30 kwa ajili tu ya kupromote utoaji mimba na uzazi wa mpango ili kuhakikisha idadi ya watu haikuwi na ikiwezakana ishuke ili Afrika isipate uwezo wa kutumia rasilimali zao kwa sababu wao mabeberu wanazitaka hizo rasilimali.

Pia wanapunguza idadi ya watu kwa kuyaacha magonjwa kama Malaria bila chanjo ili iendelee kuua na kupinguza idadi ya waAfrika, sio kwamba hakuna chanjo ya malaria, ila hawawezi kuiruhusu sababu italeta ugumu wa kupunguza watu weusi. Ingekuwa malaria inaua wazungu kama Corona sidhani kama pangekuwa hamna chanjo hadi leo.

Pia wanapenyeza magonjwa mapya kama Ebola, HIV ili kuendelea kupunguza watu weusi, lakini hasahasa ni kutoa misaada ya kutoa mimba na uzazi wa mpango, kila siku unasikia matangazo kwa msaada wa watu wa Marekani redioni eti mara ooh, mimba ni pushup 1000, kwahiyo pumzikeni walau miaka miwili kabla ya kubeba ujauzito, wao wanaupendo gani sana kwetu hadi kugharamia haya matangazo!

Mara ooh tumia njia salama za uzazi wa mpango, hatushtuko tu??!
Msikilize mwenyewe mwanzo hadi mwisho.
Video nimeweka part 1 na 2.
Pia soma: Wa-Afrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation! - JamiiForums
View attachment 1440117
View attachment 1440176
Kimsingi Africa kama tunataka kufanya uzazi wa mpango basi inatakiwa tuufanye with an internal driven agenda na siyo external driven agenda.

Kwa jinsi bara letu lilivyo na raslimali nyingi unahitaji akili nyingi na nguvu kidogo kuweza kuwatosheleza wananchi wako huduma zote bora na kukuza uchumi kwa haraka sana.

Lakini je uchumi wetu unatosheleza kuhudumia hata hii population ndogo tuliyonayo ? Je una soko la ajira la kutosha kuhudumia hii population ndogo tuliyonayo ?

Je ongezeko la population iliyopo litakuwa na athari gani chanya na hasi kwenye uchumi wetu ? Je sera zetu zitaweza kujibu changamoto zitakazozqlishwa na ongezeko la watu?

Mathalani hapa kwetu Tanzania nchi yetu mpaka sasa inateswa na ongezeko kubwa la wasomi wasio na ajira ambao hawafiki hata millioni mbili, je itakuwaje kwa ongezeko la watu wengine labda million 10 huko mbeleni ?

Yawezekana kweli agenda ya wazungu ni kupora raslimali zetu lakini je raslimali zetu zitalindwa na wingi wetu au zitalindwa na sera na mikakati yetu bora ya kulinda, kuvuna na kutumia raslimali hizo ?

Je kuongezeka kwetu au kupungua kwetu kutakuwa na athari zipi chanya kwenye kulinda, kuvuna na kutumia raslimali zetu ?

Je ni mfumo upi wa uchumi utakaoweza kuwa mwarobaini wa matatizo ya ongezeko la population Africa ?

Najaribu kujiuliza tu, tutafakari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo sawa na mabeberu. Lazima kuwe na uzazi wa mpango la sivyo next great extinction will be of our own.

Unaambiwa kuwa population inadouble kila baada ya miaka 20. Hivi sasa ipo almost 8billion. Na prediction by 2040 tutakuwa 16billio. Then by 2060 tutakuwa 32billion.

Dunia haiwezi kuaccomodate 30billion. Tutakufa. Kumbuka population inapoongezeka tunachukua nafasi ya ardhi ya kuzalisha chakula. Miji inakuwa mashamba yanapungua. Tunaanza kuzalisha kisasa kutumia chemical ambazo ni mbaya kiafya. Watu watakufa ovyo kwa kansa. Watu kuishi miaka hata 60 itakuwa night mare kama tunavyosikia kuwa kunawatu waliishi miaka 500.

Sent using Jamii Forums mobile app
Population ya ulaya na afrika ipi kubwa?hivi unajua kama india pekee ina watu wengi kuizidi afrika yote,hapo china bado sijaigusa
 
Waafrica wanafikiriaga kuibiwa tu hivi wazungu wanakuja kutuibia nini?

Watasema madini.
Hivi wazungu wakisema hawanunui madini ya africa sisi madini tutayafanyia nini zaid ya kutengenezea pete na cheni?

Tunawaita mabeberu eti kisa walikuja africa na kuchukua madini ambayo wazee wetu walikuwa wakiyachezea bao.

Dunia ya sasa tunaishi kutegemeana. Lazima kuwa na masikini na tajiri. Wote tukiwa matajiri hakuwezi kuwa na amani. Ndyo hiki kinachotokea sasa. Mataifa makubwa yanajinadi kuwa na nguvu ya nuclear kila mtu anamtunishia kifua mwenzake. Hivi kila taifa hapa duniani likiwa tajiri kutakuwa na amni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, Ila kinachoshangaza ni waowao wanaokuja afrika kuasili watoto na hata kutoroka nao pale wanaposhindwa kuwachukua kisheria, ni wao wanaokuja afrika na kuwachukua kaka zetu na Dada zetu kwa mikataba ya ndoa, niwao ambao wanaandaa mitego kila Leo ya ajira na malipo yakuvutia kwa vijana wetu ili waende kwao na wanapofika huwafunga kwa mikataba mirefu na hata kuwapa uraia kabisa!! Binafsi naamini upendo wao upo kwa Afrika na si kwawaafrika.
Mimi nipo sawa na mabeberu. Lazima kuwe na uzazi wa mpango la sivyo next great extinction will be of our own.

Unaambiwa kuwa population inadouble kila baada ya miaka 20. Hivi sasa ipo almost 8billion. Na prediction by 2040 tutakuwa 16billio. Then by 2060 tutakuwa 32billion.

Dunia haiwezi kuaccomodate 30billion. Tutakufa. Kumbuka population inapoongezeka tunachukua nafasi ya ardhi ya kuzalisha chakula. Miji inakuwa mashamba yanapungua. Tunaanza kuzalisha kisasa kutumia chemical ambazo ni mbaya kiafya. Watu watakufa ovyo kwa kansa. Watu kuishi miaka hata 60 itakuwa night mare kama tunavyosikia kuwa kunawatu waliishi miaka 500.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
video iko wapi?
watasha hawatupendi kabisa.hiyo inajulikana
hahaha!
download.jpg
 
Kimsingi Africa kama tunataka kufanya uzazi wa mpango basi inatakiwa tuufanye with an internal driven agenda na siyo external driven agenda.

Kwa jinsi bara letu lilivyo na raslimali nyingi unahitaji akili nyingi na nguvu kidogo kuweza kuwatosheleza wananchi wako huduma zote bora na kukuza uchumi kwa haraka sana.

Lakini je uchumi wetu unatosheleza kuhudumia hata hii population ndogo tuliyonayo ? Je una soko la ajira la kutosha kuhudumia hii population ndogo tuliyonayo ?

Je ongezeko la population iliyopo litakuwa na athari gani chanya na hasi kwenye uchumi wetu ? Je sera zetu zitaweza kujibu changamoto zitakazozqlishwa na ongezeko la watu?

Mathalani hapa kwetu Tanzania nchi yetu mpaka sasa inateswa na ongezeko kubwa la wasomi wasio na ajira ambao hawafiki hata millioni mbili, je itakuwaje kwa ongezeko la watu wengine labda million 10 huko mbeleni ?

Yawezekana kweli agenda ya wazungu ni kupora raslimali zetu lakini je raslimali zetu zitalindwa na wingi wetu au zitalindwa na sera na mikakati yetu bora ya kulinda, kuvuna na kutumia raslimali hizo ?

Je kuongezeka kwetu au kupungua kwetu kutakuwa na athari zipi chanya kwenye kulinda, kuvuna na kutumia raslimali zetu ?

Je ni mfumo upi wa uchumi utakaoweza kuwa mwarobaini wa matatizo ya ongezeko la population Africa ?

Najaribu kujiuliza tu, tutafakari

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kumbe solution ni kuondoa vizingiti vinavyofanya hata hii population ndogo isinufaikr na rasilimali zilizopo, mfano rahisi ni tulivyolinda viwanda vya sukari na kulinda ajira, pia kukuza viwanda, hivi ndio vitu vya kufanya na sio kuwaambia watu wafanye uzazi wa mpango ili maneberu yaje kujichotea, no way!
 
Eti mabeberu, si majuzi hapa tulikua tunalilia mkopo wa elimu uliokua umezuiliwa

Abortion ni illegal kila mahali
Family planning ni option

Mwenye akili na nguvu atamtawala mdhaifu Siku zote
 
Waafrica wanafikiriaga kuibiwa tu hivi wazungu wanakuja kutuibia nini?

Watasema madini.
Hivi wazungu wakisema hawanunui madini ya africa sisi madini tutayafanyia nini zaid ya kutengenezea pete na cheni?

Tunawaita mabeberu eti kisa walikuja africa na kuchukua madini ambayo wazee wetu walikuwa wakiyachezea bao.

Dunia ya sasa tunaishi kutegemeana. Lazima kuwa na masikini na tajiri. Wote tukiwa matajiri hakuwezi kuwa na amani. Ndyo hiki kinachotokea sasa. Mataifa makubwa yanajinadi kuwa na nguvu ya nuclear kila mtu anamtunishia kifua mwenzake. Hivi kila taifa hapa duniani likiwa tajiri kutakuwa na amni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ya kuuana na kupunguza population nayo ndio tunategemeana sio? Haha, sijui nini kinaendelea kichwani kwako, mtu anakuletea magonjwa na misaada ya utoaji mimba na uzazi wa mpango ili aue kizazi chako halafu unachezesha makalio yako hapa eti wataiba nini??!!
 
Eti mabeberu, si majuzi hapa tulikua tunalilia mkopo wa elimu uliokua umezuiliwa

Abortion ni illegal kila mahali
Family planning ni option

Mwenye akili na nguvu atamtawala mdhaifu Siku zote
Hoja ya msingi juu ya wao kufanya juhudi za kuua waAfrika kwa kuwaletea magonjwa pamoja na kupromote utoaji mimba na uzazi wa mpango ili kupunguza idadi ya waAfrika kwa lengo la kuendelea kufyonza rasilimali za Afrika ndio hasa inayojadiliwa hapa, nakukumbusha tu. Sasa basi, kwakuwa uzazi wa mpango ni option nasi tumebaini option ya wanayoipromote kwa nguvu na gharama nyingi ina lengo ovu na hasi dhidi yetu ndio maana tupo hapa kujadiliana na kushawishi watu kuikataa hiyo option, kwani we ulitaka kusema nini?
 
Unapoteza muda na nguvu zako kulielimisha hilo zombie lililoshikwa masikio na beberu, hopeless!
Cheki sasa unamwita M-Tz mwenzako "zombie lilioshikwa masikio na beberu"...... Kwani yeye ndio anaomba mabeberu yatupe misaada

Hatulazimishwi kupokea chochote.....hebu mshauri mkuu was nchi apinge kupokea kitu kutoka kwa mabeberu
 
Sasa kumbe solution ni kuondoa vizingiti vinavyofanya hata hii population ndogo isinufaikr na rasilimali zilizopo, mfano rahisi ni tulivyolinda viwanda vya sukari na kulinda ajira, pia kukuza viwanda, hivi ndio vitu vya kufanya na sio kuwaambia watu wafanye uzazi wa mpango ili maneberu yaje kujichotea, no way!
Mabeberu waje kujichotea nini. Kwani africa kuna nini ambacho wao hawana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hiyo population mliyonayo mnaimudu? Au mnalia lia tu!

Ukipita huko unakutana na vitoto vya barabarani kama utitiri. Wazazi hawajulikani walipo.

Familia zingine hata kula milo miwili tu haiwezekani. Njaa na umasikini.

Kutwa mnazaa na kufyatua asubuhi na jioni lakini bado mnatupia lawama wazungu! Ati ooh wanatuzuia kuzaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kumbe solution ni kuondoa vizingiti vinavyofanya hata hii population ndogo isinufaikr na rasilimali zilizopo, mfano rahisi ni tulivyolinda viwanda vya sukari na kulinda ajira, pia kukuza viwanda, hivi ndio vitu vya kufanya na sio kuwaambia watu wafanye uzazi wa mpango ili maneberu yaje kujichotea, no way!
Sidhani kama raslimali zetu zinaporwa na mabeberu kwa sababu ya population ndogo ya africa.

Tatizo kubwa linaloikabili Africa ni kwamba " Africa haijawahi kujua yenyewe inapigania nini hapa duniani na hivyo haijui hata nafasi yake duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom