VIDEO: Salamu za kibabe za Krismasi za Rais wa Ufilipino

sonaderm

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
618
1,816
Rais wa Ufilipino ametoa salamu za krismasi kwa raia wake!Katika video fupi ya salamu jamaa ametoa onyo kwa wezi, wauza unga na wala rushwa kuwa huenda ikawa ni siku kuu yao ya mwisho.

Ikumbukwe jamaa ni mtata sana kwenye kauli zake za kibabe au matamshi hata ikafikia kumtukana rais wa marekani kuwa ni mtoto wa kahaba na kuleta utata miezi kadhaa iliyopita..

Nahisi dunia kwa sasa ili iende inahitaji viongozi wenye misimamo kama huyu jamaa japo watu wa haki za binadamu wanampinga vikali kwa kuwaua wahalifu mbalimbali nchini kwake kwa maslahi ya wananchi wake..
 
fundisho kwa rais wangumpendwa asiangalie nani kamueka,yuleni nani na je itakuwaje ye afanye jambo kwa maslah mapana ya taifa..
 
Back
Top Bottom