Video: Sakata la kujiandikisha - Mkuu wa Wilaya ya Temeke ahutubia michanga na mifereji, Wananchi wamgomea waendelea na mambo yao

unaweza kudhani ni maigizo lakini kumbe ndio ukweli wenyewe
Duh......

Jiwe ndiyo aelewe kuwa watu wamepania kumgomea uandikishaji huu

Lakini ifahamike pia chanzo cha mgomo huu ni yeye mwenyewe Jiwe, kwa kuwa hataki kabisa kufuata misingi ya "fairness" ambayo ndiyo msingi mkubwa katika demokrasia.......

Yeye amewapiga marufuku wapinzani wasifanye siasa hadi 2020, lakini yeye mwenyewe na CCM yake kila siku tunawaona wakiendesha kampeni nchi nzima!

Sasa yeye Jiwe kweli atatafuta mchawi ya kwanini watu wanagomea kujiandikisha??

Jibu ni rahisi, watu wamechoka na dhuluma zake dhidi ya upinzani hapa nchini
 
S
 

Attachments

  • 2181380_tapatalk_1570975358855.jpeg
    2181380_tapatalk_1570975358855.jpeg
    19.9 KB · Views: 2
Watanzania wengi wanajitambua bado wachache wanatishiwa na bwana yule kwamba ni hisani yake binafsi kuwajengea miundombinu na huduma muhimu. Inakera sana viongozi waandamizi kumtukuza Kiongozi mkuu, eti zahanati,kituo cha afya,maji ,umeme !?
 
Eeeenh, Mkuu Erythro, hujawahi kutoa kali kama hii tokea nikusome hapa!

Naona huyo bwana anapigania kitumbua chake kwa mbinu zote. Ingewezekana kupitisha viboko ingemlazimu kufanya hivyo..., lakini afanyeje? Hii ndio nguvu ya umma. Itafika mahali watu wataijua na kuitumia ipasavyo.
Iweke vizuri hiyo video kwa kumbukumbu ya baadae.
 
Back
Top Bottom