Ngwenje mustapha
Member
- Sep 1, 2020
- 8
- 6
Ati nini
Miezi michache iliyopita ilikuwepo.ikiwa hivyo ndio salama kupanda.Global warming is real, barafu inaisha aisee soon itakuwa kama mlima Meru.
Ndugu kwanini umefikiri hivyo? mbona zamani ilikuwa kanuni kuzunguka mlima kabla ya ndege kutua? usiwaze mabaya tu ndugu tujisemee mema naiwe baraka kwetu sote.
kwa minajili hio watafiti wapo Sawa kuwa jamii ya kili hasa wamachame, wasiha , wameru na wamasai ni wahamiaji waliotoka Kushi landWakushi wanaamini kuwa The Mount Kilimanjaro ni urithi wao toka kwa Suleiman baba yao.
Hakuna kitu kama hicho hii miezi ndivyo ilivyoGlobal warming is real, barafu inaisha aisee soon itakuwa kama mlima Meru.
Wazo zuri sana hili.bendera ya Jf mount Kilimanjaro
Hongera kwa Kututaarifu kuwa ndiyo kwa mara yako ya Kwanza kupanda Ndege tena ukiwa Ukubwani ( tena Uzeeni ) hivyo.Mzuka wanajamvi!
Rubani wa Ethiopian Airlines alipokaribia kutua KIA anga ilikuwa wazi na mawingu hayakuwepo. Akauona Kilimanjaro haraka akawaomba flight controllers KIA wamruhusu auzunguke wakamkubalia nakuwashtua abiria. Ilikuwa furaha kila mtu kwenye ndege ooh my God.
The majestic Kilimanjaro our national pride! View attachment 1906716View attachment 1906713View attachment 1906714
Kwa m
kwa minajili hio watafiti wapo Sawa kuwa jamii ya kili hasa wamachame, wasiha , wameru na wamasai ni wahamiaji waliotoka Kushi land
Kwa Sasa Sina Ila Nina wazo hili la kuwapelekea waiandae Kuna mwezi nataka kwenda kupanda mlima niende nayoWazo zuri sana hili.
Tupia kapicha nione mwonekano wa hiyo bendera ya JF (kama ipo), na kama haipo ni vyema JF team wakafikilia na kufanyia kazi hili swala la kuwa na Bendera yao.
Dah kijana wa zamani bana. Nyie ndo wafanyakazi wa ATCL mliofilisi shirika mkawa mnalipwa mishahara tu huku mmening'iniza poumbou sofani ofisini hadi mkastaafu na bado mafao ukapata.Hongera kwa Kututaarifu kuwa ndiyo kwa mara yako ya Kwanza kupanda Ndege tena ukiwa Ukubwani ( tena Uzeeni ) hivyo.
Kwa wale wa miaka ya late 90's na early 2000 mtakumbuka sana Marubani akina Marehemu Captain Mapunda na Mazura walikuwa wakitupigisha mno Misele hapo Mlimani Kilimanjaro tena tukiwa Wanafunzi ndani ya Ndege za iliyokuwa ATC.
Wabongo bhana Yani dogo akifaulu la saba ni freemason, ukifululiza kula nyama kila siku wewe ni freemason!Nyie ndo wafanyakazi wa ATCL mliofilisi shirika mkawa mnalipwa mishahara tu huku mmening'iniza.....
Huko kushi ndio nchi gn Tena?Kwa m
kwa minajili hio watafiti wapo Sawa kuwa jamii ya kili hasa wamachame, wasiha , wameru na wamasai ni wahamiaji waliotoka Kushi land
Tunatakiwa tuutangaze Mlima Kilimanjaro kwa nguvu zote ili wakipata mapato ya kutosha huko labda watasahau ishu ya kuja na Tozo kila kukicha ndege ni kitu cha kawaida uwe umepanda enzi za Mwalimu au leo...Hongera kwa Kututaarifu kuwa ndiyo kwa mara yako ya Kwanza kupanda Ndege tena ukiwa Ukubwani ( tena Uzeeni ) hivyo.
Kwa wale wa miaka ya late 90's na early 2000 mtakumbuka sana Marubani akina Marehemu Captain Mapunda na Mazura walikuwa wakitupigisha mno Misele hapo Mlimani Kilimanjaro tena tukiwa Wanafunzi ndani ya Ndege za iliyokuwa ATC.
Na bado anakuja kujisifia kufirisi kampuni kwa kuzunguka hovyo hovyo..Dah kijana wa zamani bana. Nyie ndo wafanyakazi wa ATCL mliofilisi shirika mkawa mnalipwa mishahara tu huku mmening'iniza poumbou sofani ofisini hadi mkastaafu na bado mafao ukapata.