VIDEO: Ronaldo atupa kipaza sauti cha mwandishi wa habari ziwani

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
Ni kabla ya mechi ya Euro 2016 ambapo Ureno ilikutana na Hungary amabapo mwandishi wa habari alimfuata Ronaldo kumhoji kuhusu mechi hiyo lakini Ronaldo alichukua kipaza sauti chake na kukitupa ziwani.

Du! Sijui kama hawa waandishi watathubutu tena kumrudia huyu jamaa, hivi ingekuwa ni hapa bongo waandishi si wangesusia kumhoji?

 
Back
Top Bottom