Video: Rais wa zamani wa Ivory Coast apokea kipigo akiwa mtaani jijini Paris

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Aliyekuwa Rais wa Ivory Laurent Gbagbo ameshambuliwa akiwa anatembea mtaani jijini Paris Ufaransa na wananchi ambao wanasadikiwa kuwa ni raia wenye asili ya Ivory Coast waishio Ufaransa
 
Daaaah masikini wamemfananisha na Gbabo wakamtia vitasa babu wa watu. Kweli hao wananchi wenye hasira kali

Pole babu uwe unavaa hata wigi na miwani watu wamechefukwa
 
USIOMBE IKUKUTE HII AISEE!UNAWEZA FANANISHWA NA MWIZI WAKATI HUNA HILI WALA LILE....HATARI
 
Aliyekuwa Rais wa Ivory Laurent Gbagbo ameshambuliwa akiwa anatembea mtaani jijini Paris Ufaransa na wananchi ambao wanasadikiwa kuwa ni raia wenye asili ya Ivory Coast waishio Ufaransa

Sio yeye acheni uongo muda tu Laurent Gabgo hayupo uraini na haiwezekani .
 
Back
Top Bottom