Video- Rais Obama akiigiza filamu ya kutafuta kazi

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Hii ilitokea huko Marekani,ambao Rais Obama aliigiza filamu ya jinsi vijana wanavyotafuta kazi kwa shida,katika filamu hiyo Obama ameigiza na makamu wake wa Rais,inaonekana obama akienda kuomba kazi na kuulizwa maswali kadha wa kadha zaidi jionee video hiyo nimeikuta youtube
 
Back
Top Bottom