Video: Rais Magufuli amsifia Kikwete kwa kumfikisha pazuri mchakato wa Katiba

JE, MAGUFULI YUKO SAHIHI?

  • Total voters
    22

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
MAGUFULI: WANAOSEMA KIKWETE ASHTAKIWE KWA NINI WASINISEME MIMI? .
ASEMA Tutashirikiana na vyama vyote kutatua kero za wananchi.
 
MAGUFULI: WANAOSEMA KIKWETE ASHTAKIWE KWA NINI WASINISEME MIMI? .
ASEMA Tutashirikiana na vyama vyote kutatua kero za wananchi.

mambo ya siasa.

juzi hapa nimemsikia Hillary Clinton akiisifia family ya Bush (kawasifia wote baba na mwana). kumbuka hawa walikuwa na hata sasa bado ni wahasimu wakubwa kule US hakuna mfano!

why? Trump!
 
magu inabid akae madarakan hadi kifo chake atatufikisha mbali sana
Siku za kuishi zimepangwa na Mungu na wala kifo hakina kanuni. Siyo lazima mtu augue au awe mzee au astaafu. Siku yake ikifika itabidi aondoke akatoe hesabu kwa Mungu wake.
 
Sifa na lawama vyote ni sehemu ya maisha kama ilivyo pleasure na pain
 
Hilo la katiba sidhani kama alimaanisha, ila hilo la kudhibiti upinzani watu wafanye kazi, i can trust him.
 
MAGUFULI: WANAOSEMA KIKWETE ASHTAKIWE KWA NINI WASINISEME MIMI? .
ASEMA Tutashirikiana na vyama vyote kutatua kero za wananchi.

Naanza kuona kama vile JPM huwa hamaanishi kile anachosema, au kwa lugha nyingine kuwa kile kinachomtoka mdomoni sicho kilichomjaa moyoni! Nakumbuka alivyokuwa anamsifia JK kwa uongozi bora na kusifia safari zake za nje kuwa zina manufaa makubwa kwa maendeleo ya nchi, lakini sote tunajua alivyokuja kumchana Jk huyo huyo tena hadharani na mwenyewe akiwepo kuhusu swala la safari nje! Wadau watajazia mifano mingine, ila niseme tu kuwa sitashangaa kuona JPM akimgeuka JK kuhusu alichomsifia leo kwenye swala la Katiba na hata kwenye swala la kumlinda!! It is just a matter of time, yangu macho & masikio!
 
mambo ya siasa.

juzi hapa nimemsikia Hillary Clinton akiisifia family ya Bush (kawasifia wote baba na mwana). kumbuka hawa walikuwa na hata sasa bado ni wahasimu wakubwa kule US hakuna mfano!

why? Trump!

Siasa ndugu yangu. Hata Obama amemu- endorse Hillary Clinton, miaka 8 iliyopita alisema Hillary ni mwanamke shupavu ila sio kwa nafasi ya urais.
 
Hebu sikiliza kwanza. Amesema kuna kitu kitaongezwa katika katiba hiyo. Wengi tunataka yafanyike kwa wakati wetu si muda wa serikali.

Hapa ndio point ilipo kuwa atarekebisha yale yenye ukakasi, na kamrahishia kwa kuwa hana sababu ya kuitisha mchakato mpya.

Hili la kumlinda Kikweti si lake analazimishwa na katiba aliyo apa kuilinda.
 
Back
Top Bottom