Video: Rais Dkt. Magufuli akiendesha moja ya mabasi ya Mwendokasi wakati wa uzinduzi

Bila shaka atakuwa amevunja sheria za nchi kuendesha gari la abiria bila kuwa na leseni inayomruhusu kufanya hivyo. Any way sijui ameendesha umbali kiasi gani na speed ilikuwaje maana naona walinzi wakihaha kwa mbele bila kuwasahau na waandishi wa habari hasa picha.
Uzinduzi rasmi wa mwendokasi, imechukua muda mrefu sana kulikoni? Wapi JK maana mradi ulianza enzi zake
 
Back
Top Bottom