chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
Hivi majuzi Raisi wa Ufaransa aliitembelea Denmark kiserikali,Katika video ni Raisi wa Ufaransa pamoja na Waziri Mkuu wa Denmark wakitembea mitaani kwa baskeli na ulinzi wa kawaida tu,sio ulinzi mkubwa wa kutisha raia,Denmark hakuna cheo cha Raisi kwahiyo Waziri Mkuu ndio cheo kikubwa cha kisiasa katika nchi hiyo
Chini ni picha ya Raisi John Pombe Magufuli akiwa katika moja ya ziara zake kuwatembelea raia Tanzania
Mdau toa maoni yako
Chini ni picha ya Raisi John Pombe Magufuli akiwa katika moja ya ziara zake kuwatembelea raia Tanzania
Mdau toa maoni yako