Uchaguzi 2020 Video: Profesa Lipumba apokelewa Dar akitokea Dodoma kuchukua Fomu ya Uteuzi

Baada ya kuchukua form ya kugombea urais wa JMT kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba leo amepokewa na umati wa watu ambao haijawahi kutokea tangia Tanzania ipate uhuru.

Hongera sana Professor Lipumba na msaidizi wako Mage Sakaya, hayo ndiyo malipo mliyo stahili kutoka kwa wapenda mageuzi wa Tanzania.

Hizi ni dalili za kuanza kulingana kura na kina YAHAYA FAHMI DOVUTWA na CHIEF LUTALOSA YEMBA
 
Lipumba mtu wa Payroll aliishafika bei toka 2010 wakati Slaa anagombea urais Chadema.

Ukiwa msomi wa PhD na unayafamu yale uliyoyasoma tu wakati nje ya hapo huna unachokifahamu basi wewe ni mjinga tu. Unaweza kuzidiwa akili na hata wa darasa la saba aliyefeli mtihani.

Akili ni yale unayoyafamu ambayo hukuyasoma darasani.
 
Haya mapokezi yana reflect kura atakazopata,
Ningekua yeye ningejitoa tu kutopoteza hela zaidi, pia kuepuka aibu ya matokeo.
Hapo yeye hana cha kupoteza maana hiyo ni gharama za chama cha mboga mboga
 
Lipumba mtu wa Payroll aliishafika bei toka 2010 wakati Slaa anagombea urais Chadema.

Ukiwa msomi wa PhD na unayafamu yale uliyoyasoma tu wakati nje ya hapo huna unachokifahamu basi wewe ni mjinga tu. Unaweza kuzidiwa akili na hata wa darasa la saba aliyefeli mtihani.

Akili ni yale unayoyafamu ambayo hukuyasoma darasani.
Anawadhalilisha wasomi wenzake
 
Baada ya kuchukua form ya kugombea urais wa JMT kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba leo amepokewa na umati wa watu ambao haijawahi kutokea tangia Tanzania ipate uhuru.

Hongera sana Professor Lipumba na msaidizi wako Mage Sakaya, hayo ndiyo malipo mliyo stahili kutoka kwa wapenda mageuzi wa Tanzania.

Kuna mtu alisema kuwa na nyomi kubwa sio kukubalika alikuwa anaisema mikutano ya Tundu Lissu.

Na Hapa tumeona ukweli Aisee Le Profeseli amejaza watu wa kutosha walioenda kumpokea njia zote zimejaa hakuna hata pa kukanyaga kweli CUF wanakubalika sana hakika watapata wabunge wengi sana.
 
Hawa vijana wengi hapo wanatoka Buguruni kwa Mnyamani , Temeke mikoroshini na Tandale kwa Tumbo , ikumbukwe kwamba Abdul Kambaya ni mfanyabiashara wa soko la Tandale anayejishughulisha na Njegere na viazi mviringo kutoka Tanangozi Iringa
Duh
Imebidi nicheke kwakweli
 
Hawa vijana wengi hapo wanatoka Buguruni kwa Mnyamani , Temeke mikoroshini na Tandale kwa Tumbo , ikumbukwe kwamba Abdul Kambaya ni mfanyabiashara wa soko la Tandale anayejishughulisha na Njegere na viazi mviringo kutoka Tanangozi Iringa
Mwaka huu siasa ndio Mwisho maana ruzuku ndio zimekwisha hawatopata hata diwani na 5% ya kura za urais hawafikii ,inabidi ajikite kwenye biashara yake ya nyegere na viazi ulaya.
 
Mliwahi kutwambia hivi hivi kuhusu Zitto ila leo mko chini ya miguu yake mkiomba awape ushirikiano kwenye uchaguzi huu.
Bavicha jaribuni kuwa na akiba ya maneno
Wewe ndiyo umerogwa kabisa akili zako, cdm iwapigieagoti ACT? Kwa lipi hilo?
 
Back
Top Bottom