Uchaguzi 2020 Video: Profesa Lipumba apokelewa Dar akitokea Dodoma kuchukua Fomu ya Uteuzi

Hawa vijana wengi hapo wanatoka Buguruni kwa Mnyamani , Temeke mikoroshini na Tandale kwa Tumbo , ikumbukwe kwamba Abdul Kambaya ni mfanyabiashara wa soko la Tandale anayejishughulisha na Njegere na viazi mviringo kutoka Tanangozi Iringa
Kambaya si alifukuzwa cuf au alirudishwa?
 
Hii chama dume Maali Seif na Mbowe wanashangaa kuona bado iko Ngangari Kinoma.

Nimemsikia Tundu Lissu katika misafara yake akitangaza kauli mbiu ya CUF "HAKI NA FURAHA KWA WOTE. lLakini pia nimemsikia Mwakajoka kule Tunduma akitumia salam ya CUF kusalimia wapiga kura wake "WANAUMEEE! WANAWAKEEE!"
 
Uongo utakusaidia nini ?
 
Cuf ilisha uzwa ccm kama ilivyo uzwa channel ten
 
Back
Top Bottom