Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
ukamatwa kwasababu mpango unaamhusu kikwete pia hivyo kama ni kukamatwa na kikwete akamatwe pia...Huyu bado tu hajakamatwa hii ni aibu kubwa
ukamatwa kwasababu mpango unaamhusu kikwete pia hivyo kama ni kukamatwa na kikwete akamatwe pia...Huyu bado tu hajakamatwa hii ni aibu kubwa
Hata mie nimeshangazwa sana na matamshi ya Prof. Lipumba. Kwa kuwa yeye ni kiongozi wa chama kikubwa nchini, ameshikilia mpini wa amani ya nchi hii kama ilivyo kwa JK na Slaa, inatakiwa asicheze ngoma hii ya udini.kwakweli lipumba kanisononesha sana na sikutegemea maneno kama haya kutoka kwake........ so sad bora hata kama alifanya hivyo asinge kwenda kuyasema hadharani kiasi hiki.
sisi sote ni ndugu dini tumeletewa tuu....... ooooooooh God kweli ulimi ni kiungo kidogo lakini .......
hili tatizo limeota mizizi hile mbaya
Sikiliza kwa umakini sana hiyo na ushilikishe ubongo wako kisha njoo tena na uharo wako..
Upload Youtube.com !ninayo cd moja shehe mmoja akipiga kampeni.msikitini kuwa jk ni mwenzao na amewaahidi mahakama ya kadhi
Ukisikiliza video anasema hiyo ndiyo mission anayoifanya hapa duniani kabla hajafa. Sasa unashangaa nini mtu kutimiza mission yake? Wengine tulisha msahau kama mwanasiasa miaka mingi sana. poleni mliodanganyika! IdimiHata mie nimeshangazwa sana na matamshi ya Prof. Lipumba. Kwa kuwa yeye ni kiongozi wa chama kikubwa nchini, ameshikilia mpini wa amani ya nchi hii kama ilivyo kwa JK na Slaa, inatakiwa asicheze ngoma hii ya udini.
Very awkward speech.
Prof. Lipumba kumbe na wewe ni mdini kama mzee wa kaya?
Wakuu,
Katika zunguka zangu nikitafuta video ya kinachodaiwa kunaswa na Tanzania Daima (Ref Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010), nimefanikiwa kuipata video hii katika YouTube. Nimetafuta Part 2 ya Video hii sijaipata, nawashirikisha Part 1 yake ili tunapojadili mambo kama haya tusiuziwe mbuzi katika gunia.
Kinachoshangaza, tumefikia hatua hii kama nchi? Ndizo siasa zilizo nyuma ya pazia na wananchi tumefumbwa macho?
Video yenyewe hii hapa:
jf senior expert member array
join date : 21st october 2011
posts : 1,597
rep power : 790
likes received552
likes given254
sitta,mwakyembe,membe na magufuli waungana mbio za urais
katika kile kinachoonekana ni mbio za urais 2015, makada wanne wa chama cha mapinduzi (ccm) wameunganisha nguvu tayari kwa kinyang'anyiro hicho.
Waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki, samuel sitta ni kama ametangaza timu yake ingawa si rasmi pale alipoweka hadharani majina ya makada hao akisema kuwa ni marafiki zake wa karibu ambao wana mikono misafi.
Sitta ambaye anatajwa kuwa mmoja wa makada watakaowania urais 2015, aliwataja marafiki zake hao juzi wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa katoliki la josephen bakita, parokia ya igoma mwanza.