VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

Ex Spy

Senior Member
Jan 15, 2007
184
1,000
Wakuu,

Katika zunguka zangu nikitafuta video ya kinachodaiwa kunaswa na Tanzania Daima (Ref Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010), nimefanikiwa kuipata video hii katika YouTube. Nimetafuta Part 2 ya Video hii sijaipata, nawashirikisha Part 1 yake ili tunapojadili mambo kama haya tusiuziwe mbuzi katika gunia.

Kinachoshangaza, tumefikia hatua hii kama nchi? Ndizo siasa zilizo nyuma ya pazia na wananchi tumefumbwa macho?

Video yenyewe hii hapa:

 
Last edited by a moderator:

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,194
2,000
CHADEMA wenyewe wanahubir udini nje nje mpaka bungeni:

Refer kauli za Selasini, Mchungaji Msigwa, na Muasisi wa CHADEMA EDWIN Mtei, yeye anataka nafasi za kazi zitolewe kwa kuangalia vigezo vya dini.

Alienda mbali na kusema tume ya katiba imejaa waislamu wengi maana yake CHADEMA inatetea maslahi ya wakristo!

Lipumba amewaumbua tu CHADEMA na kuwataka muache udini. Naona mna fight back!

Endeleeni lakini hapo hamtoki. Kanisa katoliki lilijisifu kuwandalia mgombea na wakapa ilani ya uchaguzii mwaka 2010.

Lakini kwa vile TEC ilikuwa upande wenu, mlikaa kimya na kuisifu ilani ya uchaguzi!

Kweli nyani haoni.......!
Sikiliza kwa umakini sana hiyo na ushilikishe ubongo wako kisha njoo tena na uharo wako..
 

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
0
Kwa hiki nilichokiaona na kusikia, sishangai kuona vurugu za kidini zilipoanza kuongezeka zanzibar baada ya cuf kupata nafasi ya uongozi wa umakamu raisi huko.
 

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
12,652
2,000
kwakweli lipumba kanisononesha sana na sikutegemea maneno kama haya kutoka kwake........ so sad bora hata kama alifanya hivyo asinge kwenda kuyasema hadharani kiasi hiki.

sisi sote ni ndugu dini tumeletewa tuu....... ooooooooh God kweli ulimi ni kiungo kidogo lakini .......

hili tatizo limeota mizizi hile mbaya
Hata mie nimeshangazwa sana na matamshi ya Prof. Lipumba. Kwa kuwa yeye ni kiongozi wa chama kikubwa nchini, ameshikilia mpini wa amani ya nchi hii kama ilivyo kwa JK na Slaa, inatakiwa asicheze ngoma hii ya udini.
Very awkward speech.
 

Sema Sasa

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
653
1,000
Haya usalama wa taifa, Serikali inataka kupora rasilimli za waislamu pwani ya TZ, Mnamsikia Prof. Sidhani kama kuna haja ya kuunda tume nini chanzo cha vurugu za gasi mtwara. Tunazani wanmtwara wanapigania Gasi ibaki mtwara kumbe ni Waislamu wanapigania rasilimali zote za pwani ya TZ ni zao. Sijui hebu tuone.............................???????????????
 
  • Thanks
Reactions: HT

Bocho

JF-Expert Member
Jan 6, 2013
1,489
1,195
Sikiliza kwa umakini sana hiyo na ushilikishe ubongo wako kisha njoo tena na uharo wako..

Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '

Si ulimwengu wa kudanganyana tena huu!

 

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,414
1,250
mimi nimependa PROF.LIPUMBA ALIPOSEMA BWANA MKUBWA AMESHINDWA KUONGOZA BASI MENGINE LE PROFFESERI KACHEMKA AU WAMEDHULUMIANA NA KIKWETE MPAKA ANATOA SIRI SAIZI????HAJATUAMBIA ALIKUWA ANAOKOA JAHAZI ILI IWEJE 2010??NA KWA MAKUBALIANO YEPI???HAKUNA KAZI ISIYOKUWA NA MSHAHARA.
 

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
0
Hata mie nimeshangazwa sana na matamshi ya Prof. Lipumba. Kwa kuwa yeye ni kiongozi wa chama kikubwa nchini, ameshikilia mpini wa amani ya nchi hii kama ilivyo kwa JK na Slaa, inatakiwa asicheze ngoma hii ya udini.
Very awkward speech.
Ukisikiliza video anasema hiyo ndiyo mission anayoifanya hapa duniani kabla hajafa. Sasa unashangaa nini mtu kutimiza mission yake? Wengine tulisha msahau kama mwanasiasa miaka mingi sana. poleni mliodanganyika! Idimi
 
Last edited by a moderator:

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,001
2,000
To say the least i am flabagasted,i am utterly dissappointed by such words oozing out of the mouth of such a respected politician.... haya ni mambo mazito mno...eeh Mungu mwenyenzi tusaidie kumbe mambo makubwa namna hii yanapangwa na viongozi wakuu kama prof.... mambo yanayotokea mtwara hakuna mchawi zaidi ya akina prof... police anzieni hapo... asipohojiwa mimi ntaungana na wengine kuilaumu serikali hii kuwa imeshindwa kuchukua maamuzi magumu na ya kuwa "inameza ngamia na kuchuja inzi"
 

crabat

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
4,323
2,000
Wakuu,

Katika zunguka zangu nikitafuta video ya kinachodaiwa kunaswa na Tanzania Daima (Ref Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010), nimefanikiwa kuipata video hii katika YouTube. Nimetafuta Part 2 ya Video hii sijaipata, nawashirikisha Part 1 yake ili tunapojadili mambo kama haya tusiuziwe mbuzi katika gunia.

Kinachoshangaza, tumefikia hatua hii kama nchi? Ndizo siasa zilizo nyuma ya pazia na wananchi tumefumbwa macho?

Video yenyewe hii hapa:

JF Senior Expert Member Array


Join Date : 21st October 2011
Posts : 1,597
Rep Power : 790
Likes Received552
Likes Given254


[h=2]
Sitta,Mwakyembe,Membe na Magufuli waungana mbio za urais[/h] Katika kile kinachoonekana ni mbio za urais 2015, makada wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameunganisha nguvu tayari kwa kinyang’anyiro hicho.

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ni kama ametangaza timu yake ingawa si rasmi pale alipoweka hadharani majina ya makada hao akisema kuwa ni marafiki zake wa karibu ambao wana mikono misafi.

Sitta ambaye anatajwa kuwa mmoja wa makada watakaowania urais 2015, aliwataja marafiki zake hao juzi
wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki la Josephen Bakita, Parokia ya Igoma Mwanza.
 
Last edited by a moderator:

crabat

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
4,323
2,000
jf senior expert member array


join date : 21st october 2011
posts : 1,597
rep power : 790
likes received552
likes given254


sitta,mwakyembe,membe na magufuli waungana mbio za urais


katika kile kinachoonekana ni mbio za urais 2015, makada wanne wa chama cha mapinduzi (ccm) wameunganisha nguvu tayari kwa kinyang'anyiro hicho.

Waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki, samuel sitta ni kama ametangaza timu yake ingawa si rasmi pale alipoweka hadharani majina ya makada hao akisema kuwa ni marafiki zake wa karibu ambao wana mikono misafi.

Sitta ambaye anatajwa kuwa mmoja wa makada watakaowania urais 2015, aliwataja marafiki zake hao juzi
wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa katoliki la josephen bakita, parokia ya igoma mwanza.
kila mtu yupo kanisani...ila kwenda msikitini..hakuna ruhsa...khaaaaa mbona mna kinyaaa
 

crabat

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
4,323
2,000
Wamenuna baada ya kusema kuna chama kinaandaliwa na mataifa ya kikristo kuchukua madaraka.....

Ukweli mchungu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom