omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,325
- 2,498
Na huyu ni Profesa wa uchumi anayesema haya, sio mabaya sana kama angeyasema hadharani akiwa kama Mtanzania kwa niaba ya Watanzania lakini kitendo cha nje kujionyesha ni mwenyekiti wa chama kisicho cha dini na ndani akionyesha kuwa lengo lake ni kukomboa watu wa dini fulani kinasikitisha sana! Angeomba radhi angeeleweka zaidi kuliko kukaa kimya