Ubunifu upo wapi hapo?Kawaida sana kwenye gospel music. Abarikiwe kwa kutafsiri.
PAUL MWANGOSI (Beat na baadhi ya Maneno japo kapiga kiswahili
DEBORA LUKALU
NB: kU-COPY KUMEINGIA MPAKA KWENYE GOSPEL? Mnazugia kilugha na kiswahili ila wajuvi tutawaumbua tu
ngumbaru mnaongezeka kwa kasi nchiniWe ni mshamba hakuna serious copyright cases kwenye gospels we utakuwa timu pinzani...haya yanafanyika kusaidia injili iende mbele
Plagiarism ya hali ya juu hii Wabonogo ubunifu ZEROIla mleta uzi wewe utakua muimbaji wa gospel hizi mnavaa Njano na Nyekundu mnarukaruka afu mnakaa nyuma kanisani huwa hamsali.
Afu mwisho wa kuimba ka^wimbo kako ambako kako flaaat unaanza kusema" nina CD zangu pale nyuma naomba support yenu"
Nakushauri acha wivu na majungu kwa waliotangulia. Dunia nzima ni kawaida sana kwa Gospel songs kurudiwa na kutafasiriwa hakuna baya hapo labda wewe haupo informed mzee.
PAUL MWANGOSI (Beat na baadhi ya Maneno japo kapiga kiswahili
DEBORA LUKALU
NB: kU-COPY KUMEINGIA MPAKA KWENYE GOSPEL? Mnazugia kilugha na kiswahili ila wajuvi tutawaumbua tu
ngumbaru mnaongezeka kwa kasi nchini
Haipendezi kuiba kwa mtu wa aina hiiMtumishi jizi