Video: Pamoja na kuteswa sana awamu ya 5 lakini viongozi wa Chadema hawakujali kitu , roho zao kwatu kabisa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,580
217,962
Hii ni moja ya shughuli iliyosheheni viongozi wa juu kabisa wa Chadema , wakisakata rumba bila hata kinyongo na mtu , Hakika Chadema ni furaha tele .

Jionee mwenyewe .

Hii nchi imepitia kipindi kigumu sana kwakweli! Ni haki ya mtu kua na furaha na amani ndani ya moyo wake anapoona kile kilichokua kinamkosesha amani na furaha hakipo active tena...
 
Hii ni moja ya shughuli iliyosheheni viongozi wa juu kabisa wa Chadema , wakisakata rumba bila hata kinyongo na mtu , Hakika Chadema ni furaha tele .

Jionee mwenyewe .

View attachment 1753962
SASA kinachowafanyaga mnalalamika sana kama mwanamke kakutana na kitu siyo saizi yake ninini? kama pambalu yaani jamaa angekuwa mwanamke angekuwa malaya sana anapenda kulalamika kama kakalia mb********ooooo
 
Unaandika kwenye uzi huu huu au umejichanganya ?
 
SASA kinachowafanyaga mnalalamika sana kama mwanamke kakutana na kitu siyo saizi yake ninini? kama pambalu yaani jamaa angekuwa mwanamke angekuwa malaya sana anapenda kulalamika kama kakalia mb********ooooo
Hapo mwishoni ulishawahi kuikalia Hadi unaijua vile inafeel eeh, inaonekana unajua na kuikatikia
 
Hivi kwanini masikini wa hela anakuwa pia masikini wa akili ?

IMG_0324.jpg

sababu una hela wacha tukuite wildbeast
 
Back
Top Bottom