naclick video inagoma..sijui app Yangu ina tatzo gani
Wewe unayetaka chanjo nenda Kenya upate chanjo, ASTRAZENECA. Watu wanapata chanjo, then wakipimwa baadaye wanakutwa na CORONA! Wengine wanakufa kwa damu kuganda kwa ajili ya hiyo chanjo. Hakuna anayekataa chanjo, inatakiwa usalama wa hiyo chanjo. Tusubiri taarifa na ushauri wa kamati itakayoundwa na Mama.Yesu alienda kufichwa baada ya kuzaliwa na hayo yalikuwa ni maagizo kwa mama yake toka kwa malaika, sasa hizi kelele zako hapa ondoa. Nyie ndio hamtaki chanjo mnaamini Mungu yupo atawalinda halafu mnakufa kama kuku.
Nitakuwa wa mwisho kuamini Padre kuonewa, tena Katoliki? Kwa nini hakupeleka taarifa zake kwa viongozi wake km Askofu?nadhani na yeye ni binadamu hakuna asiyeogopa kufa , hata hao wanaojiita viongozi wakuu wa dini likilia bomu wanasepa kuliko Usain Bolt , chezeiya Izraeli wewe, kipindi cha Jiwe watu wengi wamekimbia nchi msisingizie sijui nini wala nini , kwa taarifa yako wengi wanarudi tena bila hata kuomba kwani mwenda kwao si mtumwa, watarudi tena wooote kwani malaika wa kifo kashazikwa kule kitovuni
Soma tena post yangu!Kumbuka mashahidi wa Uganda walikuwaje? Yohana aliuawa kwa kukatwa kichwa, Ukiwa mfuasi wa Yesu, na unaamini kuwa unatetea imani huwezi kuogopa kufa kwa ajili hiyo. Kama kweli huyo Padre alikuwa anafanya mema kwa kondoo zake, kwa nini akimbie?? Kuna kitu kimejificha, inawezekana kuna mchezo mchafu alikuwa anajihusisha hasa kutakatisha fedha kwa mgongo wa kanisa!!
Unashangaa nini mama D ! Ccm ni chama cha majambazi. Sisi Tunapotaka itoke madarakani na kutuachia nchi yetu, tuna sababu za msingi.
Nimeikuta mahali hiiNitakuwa wa mwisho kuamini Padre kuonewa, tena Katoliki? Kwa nini hakupeleka taarifa zake kwa viongozi wake km Askofu?
Na wenyewe wanapenda kuishi kama binadamu wengine! Mzee wako aliivuruga sana hii nchi kwa kuyakumbatia makundi ya wahuni aina ya Heri James, Bashite, Ole Sabaya, na wengineo wengi tu waliotumia mwanya huo kunyanyasa watu wengine kwa kuwabambikia kesi kwa nia ya kujinufaisha wenyewe!Tate Mkuu hadi sasa wapinzani siwaoni
Viongozi wa upinzani wameingia mitini na kubaki na siasa za kiuanaharaki twita na jf
Kweli upinzani ni muhimu sana kwa afya ya taifa ila Tanzania bado sanaaaa
Hivi hawa mapdre sio ndo wanahubiri kwenda mbinguni? Utaendaje mbinguni ukiwa unaogopa kifo
Wakati mwingine uwe unajitahidi basi kuficha ule ujinga ambao umejaliwa kwenye ukoo wako. Baada ya kusoma hilo bandiko hapo juu kutoka gazeti la Mtanzania la mwaka 2017, unajisikiaje?Nitakuwa wa mwisho kuamini Padre kuonewa, tena Katoliki? Kwa nini hakupeleka taarifa zake kwa viongozi wake km Askofu?
mimi sio mkatoliki, lakini sijawachukia wakatoliki kama wewe. walikukosea nini? what makes you not to give him a benefit of doubt? alishawahi kuandika waraka mrefu sana hapa jf mara nyingi, hicho alichoandika ni nukta tu ya kile alichofafanua kabla.Nitakuwa wa mwisho kuamini Padre kuonewa, tena Katoliki? Kwa nini hakupeleka taarifa zake kwa viongozi wake km Askofu?
una uhakika na unachokisema?..Nitakuwa wa mwisho kuamini Padre kuonewa, tena Katoliki? Kwa nini hakupeleka taarifa zake kwa viongozi wake km Askofu?
Leo hii hata hamu tu ya kuangalia Bunge, haipo!
Muda huu analamba tu ndimu kwa kujiona ni empty box! 🥶una uhakika na unachokisema?..