JK looks very uncomfortable
http://www.necn.com/Boston/Nation/Bush-US-money-being-spent-wisely-in-Tanzania-/1220034551.html
http://www.necn.com/Boston/Nation/Bush-US-money-being-spent-wisely-in-Tanzania-/1220034551.html
What a big joke!!!!!!!!! Anasema Malaria in Zanzibar has been eliminated!!!!!!! Jamani jamani jamani! Kweli nchi sasa imeshikwa na wenda wazimu! Hawa sio wasanii tena!
Unaweza kusema ni mwenda azimu kumbe kuna wenda azimu hata wa kusikiliza, Mh. rais amesema has been almost eliminated.... na cases za malaria zimeshuka toka 30% to 1%. Sasa kama mtu anabeza hata mafanikio katika Afya sijui atakuwa katika kundi gani.What a big joke!!!!!!!!! Anasema Malaria in Zanzibar has been eliminated!!!!!!! Jamani jamani jamani! Kweli nchi sasa imeshikwa na wenda wazimu! Hawa sio wasanii tena!
U.S. President George W. Bush meets with Tanzanian president Jakaya Kikwete in the Oval Office August 29, 2008 in Washington, DC. President Kikwete is visiting the U.S. at the invitation of President Bush.
Lolthanks for the pic..men kwa kuwa nyumbani watu wa ikulu walikuwa wakihalalisha hii ziara wakisema it is special kwa kuwa ni STATE VISIT...kwa taratibu za white house ..huambatana na kupokelewa bustani za white house na rais wa marekani kupita kwenye red carpet kando ya ceremonial guard..kuelekea office ya bush oval offfice...na baadaye kuwa na briefing along rais wa marekani ..kwenye PRESS AUDITORIUM au white house garden.....kinyume na hivyo rais wetu kuingia white house na ku chat..its more or less a COURTESY CALL....inaonekana kikwete hakuwa accorded protocal inayoendana na hadhi ya STATE VISIT..aliyoondokea hapa au??????
maana tulishokuwa tukihoji hii ziara ya 6/7 ya kikwete ndani ya miaka 2.5....kilijibiwa na watu wa ikulu kuwa oooh no this one is a special state visit ..lazima aende......haya yakitokea ndani ya miaka 2.5 kuna maeneo makubwa [mikoa]tu hapa nchini hajatembelea au kutembelea rasmi...maeneo ambayo kwa helicopter au ndege hayachukui zaidi ya masaa 2..kuruka na kufika....
nikiweza kuona kikwete akikagua gwaride kwenye viuwanja vya white house nitashukuru kuona bush ameipa tanzania heshima sawa kidiplomasia ..anagalau kufikia robo..ya heshima tuliyompa hapa....
What a big joke!!!!!!!!! Anasema Malaria in Zanzibar has been eliminated!!!!!!! Jamani jamani jamani! Kweli nchi sasa imeshikwa na wenda wazimu! Hawa sio wasanii tena!
He noted that malaria in Zanzibar, "has almost been...is being eliminated now." And he thanked Mr. Bush for helping to eliminate poverty.
ayaaaaaaaaaaa hajakagua hata gwaride?????.......mh!watatudanganya nini tena watu wa ikulu ngoja tusubili.....hata kwenye CNN au BBC ameonekana??????
Msanii sanii hebu muone.......
PM,................hivi si jk alisema safari hii ameenda kwa kuwa amepewa heshimna ya state visit..sasa mbona sijaona kipokewa kwa gwaride white house kama ilivyo desturi marekani wanapompa kiongozi state honour..au ndio amejiendea tu...halafu mbona cnn au cbs hawajampa hata sekunde tano...au huu ni wakati mbaya mdea houses zote zipo pre occupied na elections....
Aisee nimeshinda nikiangalia CNN, BBC, AlJazeera, Sky News hizi zote hazijaonyesha lolote kuhusu hii ziara ya Rais Kikwete, nafkiri hata ukiangalia hizo picha hapo juu unaona kama microfone zilizopo hapo ni chache sana...! Pengine hao walikua ni waandishi wa White house tu...!
Quote of the day...!
"we are punching above our weight"-Kikwete
Kwa hiyo JK kadhaurika au imekuwaje hapo mpaka ashindwe kukagua hata jeshi la USA tunaomba maelezo hapo magogoni kwa nini Jk kashushwa heshima?Au nayo kavamia?Mbona Bush yeye alipo kuja alipokewa kama mfalme sasa iweje yeye asithaminiwe hata kwenye BBC au CNN hatujamwona.,..?
Jasusi,
..sasa tufanye nini jamani ili RAISI wetu apewe hiyo STATE VISIT?