VIDEO - Obama Akilisakata Charanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO - Obama Akilisakata Charanga

Discussion in 'Entertainment' started by Nyani Ngabu, Oct 16, 2009.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Hebu cheki hii clip ya O'bummer akicheza na Thalia....halafu cheki anaporudi kukaa halafu mwangalie mkewe Michelle...jamaa anajaribu kupata attention ya mkewe lakini mkewe dizaini ka maindi kwa nini alikuwa anakata mauno na Thalia. Hilarious....

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=1dyvou-6hHY[/ame]
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kumbe Obama anayaweza hongera sna!
   
 3. O

  Ogah JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  acha hizo bana Michelle alikuwa kanogewa na "Charanga"...........
   
 4. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ah alimdiss banaa
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  VIDEO - Obama Akilisakata Charanga
  [​IMG]
  Obama akionyesha uwezo wake wa kudansi charanga Friday, October 16, 2009 5:07 AM
  Rais wa Marekani Barack Obama juzi alionyesha uwezo mkubwa wa kulisakata charanga baada ya kujimwaga uwanjani wakati wa tamasha la muziki wa latino na kulirudi charanga ipasavyo kiasi cha kusifiwa na mwimbaji wa charanga hilo. Ulikuwa ni usiku wa tamasha la Fiesta Latina - tamasha la muziki wa latino ambalo lilifanyika kwenye hema kwenye viwanja vya ikulu ya Marekani na kuhudhuriwa na masupastaa wengi wa muziki huo kama vile Gloria Estefan na Jose Feliciano.

  Alikuwa ni mwanamuziki maarufu wa muziki wa Latino anayejulikana kama Thalia alipoimba charanga la nguvu na kumtaka rais Obama pamoja na mkewe wajitokeze kuonyesha uwezo wao.

  Rais Obama alikubali mwito huo lakini Michelle Obama alijivunga na kuendelea kukaa kwenye siti yake.

  Obama alicheza kidogo charanga na mwanamuziki huyo na kisha kurudi kwenye siti yake huku akipongezwa na mkewe.

  Baada ya nyimbo kuisha Thalia alimsifia Obama kwa uwezo wake mkubwa wa kudansi.

  Chini ni Video ya tukio hilo.


  VIDEO - Obama Akilisakata Charanga
  bonyeza hapa chini kuona Video ya obama

  http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3332550&&Cat=2
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Obama alikuwa anaongea na mtu wa nyuma yake sio Michelle bwana! Huyu mtu kaa nyuma ya Michelle...ndo maana hata Obama anajipunga upepo ki-design. Watu mnapenda ushabiki wa kitoto...duh!
   
Loading...