Video: Nyakati hatari hizi, mtoto achinjwa kule Tanzania na kupikwa mchuzi wa nyama

Siyo ajabu sana kama Lissu alipigwa risasi 38 mchana kweupe tena kwenye majengo ya serikali yenye ulinzi masaa 24 na cctv camera na watesi wakafanikiwa kuondoka unnoticed.

Haya mambo yapo tu japo yanatisha
 
Mama mmoja kule Geita, Tanzania amchinja mtoto na kumpika hadi akawa kitoweo, hatari sana...


Cerebral malaria.
I went to school with a guy alipata huu ugonjwa akawa kichaa. He forgot everyone including his parents, friends and teachers. It was sad watching his descent to insanity.
 
Back
Top Bottom