VIDEO : Ningekua mimi mwandishi wa habari ningeangua kicheko.

Wanaume wa mikoani sijui wamepatwa na nini,si aseme tu sijui.Wa mikoani badilikeni bhana!
 
Anayehoji/ mtangazaji naye aeleweki vizuri mfano anauliza una mtoto, jamaa anajibu ndio; ana umri gani; jamaa anatoa makadirio ya mtoto mmoja (9, 7, 8) halafu mtangazaji anauliza kwa wingi wako darasa la ngapi. Halafu mtangazaji anaogopa kuku!
 
Back
Top Bottom