Video: Nimeshangaa sana kuona Mkuu wa Mkoa akicheza sebene

Muwe mnatumia akili na siyo ubishi wa tu. Wanasiasa wa Tanzania hawafanyi kazi, wamebaki kuzurura na kupiga madomo kaya kila sehemu. Wewe ulikuwa umepotea siku nyingi hapa JF nikadhani akili zimebadilika kumbe bado uko vile vile. Mama Arusha by night vipi wewe? Bado unaendelea na ile kazi yako?
Nitakusafirisha hadi Kabul wewe...........
 
Back
Top Bottom