VIDEO: Nilizadhani kiboko hana maadui

Hata uwe unatisha vipi, watoto wa mjini wakikuamulia jua halizami kabla hawajakutia vidole
 
Walimtafuna tu hachomoki hapo, fisi wana kawaida ya kuitana. Huyo alichelewa kurudi kwenye deep water baada ya kutoka usiku kwenda kula, anarudi anakutana na Hyena Clan. Amelala hivyo chini kulinda tumbo (belly) maana ndio lina ngozi laini.
Wataishia kumtia majeraha tu ila kuondoka hata na kipande cha nyama ni ishu giza likiingia anarudi majini......
 
Mimi hupenda sana kuangalia documentaries za mbuga za wanyama na hawa fisi siwapendi hata chembe.
Fisi washenzi sana,
hata najiuliza ni kwanini wachawi wanasafiri na fisi na wala sio hata mbuzi hiv😂😂
 
Mimi hupenda sana kuangalia documentaries za mbuga za wanyama na hawa fisi siwapendi hata chembe.
Fisi wanakera sana , utakuta wanakula mnyama mzimamzima yani wanamtoboa tumboni machango yanatoka nje huku wanamla aaagh
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom