Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Pia kuna hawa wa visiwa vya FIJI inasemekana pia asili yao Tanganyika, walitokea mwambao mwa ziwa Tanganyika hadi wakafika Atlantic Ocean. Wao wataView attachment 429979 miili mikubwa ya Kiafrica hasa, ila bado huwezi wakuta weusi kabisa kama sisi. Hata ukimkuta mweusi tii basi nywele zake za kishobe kidogo. Hata neno FIJI wanasema linatokana na nene VITI.
Unajua fiji imeanza kubadilishwa na huo ni mpango wa waingereza,walipeleka malaki ya wahindi weupe huko ili wazaliane wachukue visiwa hivyo.leo nusu ya WARUFIJI nadhani "umenielewa" ni baniani.
 
Mkuu walikuwa hawajui wanakoenda ilikuwa ni survival,kwa hiyo kulikuwa hakuna haja ya navigation skills.
Maji yalizidi unga magonjwa yakawaandama huwezi kufikiria mara mbili ni kutoka nduki tu ukajipange upya nadhani ndicho walichofanya pana mengi yamejificha ambayo bado hatuyajui.
 
Early Long Distance Trade kati ya Mashariki ya Mbali(china , India, et el na waajemi, hao walikuwa watumwa wa awali kabisa
Kama immigration yao ingetokana na utumwa ni dhahiri wangekuwa wamejichanganya na jamii nyingine walizo zitumikia,, swali la kujiuliza mbona ni jamii iliyojitenga kijiografia, kitamaduni n.k
 
Two_Fijian_warriors,_photograph_by_Burton_Brothers,_1884.jpg
Tazama wafiji asilia kabla ya kupelekwa malaki ya wahindi
columban-4-5-What-do-you-do1.jpg
na baada ya kuoana na wahindi na kubadilishwa kabisa.
 
Wahadzabe wa hapa kwetu bado wanatembea uchi pia. Mwaka 2011 sikumbuki kijiji hasa lakini ni karibu na Igunga na kabla ya kufika Singida niliwahi kuona wadada wametoka kuchota maji wameva kiasili kabisa na juu hawajavaa kitu matiti yako wazi. Na pia miaka ya tisini niliwahi kuona wasichana wa kikurya waliotoka kutahiriwa wakicheza ngoma huku wakiwa hawajavaa kitu chochote juu. Haya mambo bado yapo humu humu nchini mwetu Serikali nyingi huwa zinaheshimu mila na desturi za hayo makabila (minorities)
Hao wa karibu na Igunga ni wataturu wakali sana hao jamaa sidhani kama maasai anawafikia labda siku hizi
 
Ethnic groups ziko nne mkuu,Bantu speaking people,Cushites,Nilotes na Clicks(bushmen of the Kalahari Desert,Sandawe Hadzabez of Lake Eyas who are still hunters and gatherers in this 21 Century.
All in All one Most Nortable Reggae Star from Kingston Jamaica His name Is Peter McnTosh sang.....I DON'T CARE WHERE YOU COME FROM AS LONG AS YOUR A BLACKMAN YOUR AN AFRICAN....I LOVE HISTORY n personally i like this thread as it reminds me those days when i was at school
 
Da yan taifa kubwa kama India wameshindwa kuwapelekea ustaharabu hawa watu wamewaacha tu watembee uchi.Dah!Nimeumia sana,najua in dhambibya ubaguzi mwisho wa Sikh wakajikuta wanatembea tu pekeyao wakashindwa kufanya adaptation

wanaua MTU yeyote anayeingia kisiwani kwao, hadi serikali imeamua kuwaacha
 
Andamans na San people (Saan au Bushmen) lile kabila la South Africa/Namibia wanashabihiana sana. Ni jamii za watu ambao hawana contact na watu wengine, primitive kweli kweli na DNA zao zina information nyingi kuhusu binadamu.

Kama ilivyo kwa Andamans hawapigi watoto, wana upendo, wanapenda kukumbatiana wao kwa wao na kwa sababu hawana contact na watu wengine wakiona wageni wanashangaa au kuwafukuza kabisa ndiyo San people walivyo pia. Kuna uncontacted society kwenye misitu ya Amazon Brazil pia.

Hizi jamii zilindwe na zisiingiliwe katu, hata kwenda kutengeneza documentary kuhusu maisha yao tayari tunaharibu mfumo wao.
Je ni binadamu kama sisi?
Na je wanajua nn kuhusu Mungu?

Na kama hawajui chochote
Tukisema kwamba haya mafundisho ya dini waliyaleta kwetu wazungu ili watutawale mtabisha?

Kama Mafundisho hayo yako corect kwa nini wasikutwe na wao wanayo mafundisho yanayofanana na ya vitabu vyetu vya dini, kwa kuzingatia kuwa aliyesimamia upatikanaji wa vitabu vyetu vya dini ndiye huyo aliyetuumba pamoja na hao "weusi pori"
 
African union kazi yake ni nini, kwa nini wasiwaprotect hawa jamaa? Hawajifunzi jinsi marekani na uingereza wanavyoiprotect Israel? Sisi black hopeless kabisa.

Kuna wengine wako mexico na serikali haijaidhinisha mswada wa kuwatambua ili waweze kuwa na haki kama raia. Ndo maana nataka trump ashinde urais marekani ili karma ifanye kazi
 
Back
Top Bottom