Benz Petrol
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 504
- 195
Ndugu wanajamvi,
Hebu tazameni siasa za maji taka za Mwigulu na magamba wenzake katika moja ya kampeni za udiwani Arusha: MWIGURU AKILI KUHUSIKA NA MKANDA WA LWAKATALE; ATUMIA SIASA ZA MAJITAKA KUOMBEA KURA ARUSHA - YouTube
My take: WaTanzania wa leo, sio wazamani. CCM mtaji wao ni umbumbubu wa wananchi ndiyo maana bado wanakuja na siasa chafu kama hizi. Basi kwa taarifa yenu magamba kwa siasa hizi 2015 bye bye!
Update: Ndugu Benson Kigaila akitoa majibu juu ya shtuma za Mwigulu Nchemba dhidi ya Chadema

- Asema Chadema wanaua katika mikutano yao na kuwaambia wafadhili kwamba serikali inakadamiza upinzani
- ANUKULIWA "CHADEMA NI CHAMA CHA WAUAJI MPAKA SASA WAMEUWA WATU ZAIDI YA WANANE"
- Amkaribisha kwenye jukwa kijana Musa aliyemwagiwa tindikali Igunga na kuwaambia wananchi ni kazi ya Chadema
- ABAINISHA KUWA YEYE NDIYO ALIYETOA VITENDEA KAZI KWENYE VIDEO INAYODAIWA YA UGAIDI YA LWAKATARE
My take: WaTanzania wa leo, sio wazamani. CCM mtaji wao ni umbumbubu wa wananchi ndiyo maana bado wanakuja na siasa chafu kama hizi. Basi kwa taarifa yenu magamba kwa siasa hizi 2015 bye bye!
Update: Ndugu Benson Kigaila akitoa majibu juu ya shtuma za Mwigulu Nchemba dhidi ya Chadema
Last edited by a moderator: