Tatizo linakuja pale unapodai tume huru, unayemdai aunde ndiye huyo huyo mwenye mamlaka ya kutoa maamuzi.Miaka yote nimewaambia wapinzani, piganieni tume huru. Bila tume huru ni kutwanga maji kwenye kinu tu. Yaani hata baada ya kituko cha Jecha, bado wapinzani waliridhika tu! Wakatulia kimya mpaka leo 2020!
Heading na content haviendaniWapwa
Sina mengi, Hi ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa
Ruge aliwahi kusema
"Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
View attachment 1564550
Ongezea nyama mkuu.kuna bandiko lako la kuhusu ROMA MKATOLIKI NA WENZAKE kwenda STATE, KILA NIKIONA POST YA ROMA INSTAGRAM NAKUMBUKA ILE POST YAKO YA JF. why unasema hakuna janjajanja?Atatangaza tuu ...mwaka huu hakuna janjajanja tena
Baada ya uchaguzi kama wakifanya kinyume na matakwa ya wananchi , huyu kichwa chogo awe wa kwanza kukimbia nchi. Maana bongo patakuwa sio mahali salama tena kwake na kwa familia yake.Wapwa
Sina mengi, Hi ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa
Ruge aliwahi kusema
"Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
View attachment 1564550
Asad ni mteule wa KikweteNa sisi tujitahidi kuunga doti, jiulize haya maswali..
1. Kateuliwa na nani?
2. Je unaweza mteua mtu ambaye hawezi fwata matakwa yako?
3. Je kwann Asad alitimuliwa?
Mambo sio mepesi mkuu.Atatangaza tuu ...mwaka huu hakuna janjajanja tena
Wanatoka kanda moja, huenda ni ntu na binamu yakeHalafu lile bichwa lake liko kama jiwe
Duh hapo haki kutendeka ni ndoto
Uwepo wa tume huru sio kwa faida ya wapinzani tu, mwananchi yoyote mwenye akili timamu na kujielewa anatakiwa kupigania uwepo wa tume huru.Miaka yote nimewaambia wapinzani, piganieni tume huru. Bila tume huru ni kutwanga maji kwenye kinu tu. Yaani hata baada ya kituko cha Jecha, bado wapinzani waliridhika tu! Wakatulia kimya mpaka leo 2020!
Wapwa
Sina mengi, Hi ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa
Ruge aliwahi kusema
"Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
View attachment 1564550
Mambo sio mepesi mkuu.
Kuna njemba huwa zinawasimamia na mitutu ya bunduki kuhakikisha matakwa ya wakubwa yanafuatwa hata kama sio matakwa sahihi.
Na jeshi la akiba lenye silaha za kivita kama walilonalo maccm ?Sio kwa wakati huu... Hakuna kukubali matokeo batili...