Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 789
- 3,230
Wazee tusipende kitonga, Ukitaka kizuri basi zama mfukoni haswa,
Unatoa 1.8M unaambulia iphone 11 Pro Max fake.
Nahisi huyu ni mfanyabiashara wa simu, maana ukicheki pembeni hapo kuna nyingine na ni hayo hayo makopo.
Huyu atakua kauza ng'ombe zake huko, kaenda sijui ni china sijui kaagiza, kaletewa hayo ma housing hapo.
Wamemuanza na Apple Logo, wakamaliza na "Android is starting" nayo haifiki mwisho.
Huyu tayari immune ishashuka, tumuombee corona isifanye yake...
Hii ni video 1MB, Inakubali kama attachment.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shkamoo k.koo, shkmoo mchina.