EEX JF-Expert Member Oct 19, 2014 2,942 9,047 Jun 28, 2021 #21 Dawa ya deni Ni kulipa kuhama njia hakukusaidii we mkuu wa kituo sijui Kabinda sijui Kibinda .
Cotton pamba JF-Expert Member Dec 16, 2020 303 208 Aug 22, 2021 #23 Ukiona jitihada zinazo fanywa na kijana kama millard ayo ndio utajua kutegemea mshahara ni maumivu matupu lazima ujiongeze
Ukiona jitihada zinazo fanywa na kijana kama millard ayo ndio utajua kutegemea mshahara ni maumivu matupu lazima ujiongeze