Video mpya ya ay ft marco chali iliyofanywa s.a ni moja ya video kali africa

mpembasafi

Member
Jan 20, 2012
6
0
http://m.youtube.com/watch?desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3DCIFEfCmxqlA%26feature%3Dyoutu.be&feature=youtu.be&v=CIFEfCmxqlA&gl=US
 
bado nina tatizo kwenye hili..............
video nzuri na aghali lakini kwa nyimbo za kawaidaaaaaaaaaaa saaaaana,kinyume chake na enzi zile wanatoa nyimbo kali alafu video za bei chee.....dah
 
[video]http://www.youtube.com/watch?feature=endscreen&NR=1&v =7YnwRIqTZRo[/video]
 
Ay hana jipya kashapotea....na amshukuru sana Hermy B kwa kumrudisha maskioni mwa watu tungeshamsahau kama rafiki yake Snare..promo kubwa kiwango kidogo ndio maana nyimbo zake hazikai.
 
Juzi pale Millenium Tower alikuwa anajitapa kuwa amespend 33 Million for this Music Video! Kumbe Bongo watu wenye tabia kama Wema Sepetu wapo wengi enhee?
 
Ay hana jipya kashapotea....na amshukuru sana Hermy B kwa kumrudisha maskioni mwa watu tungeshamsahau kama rafiki yake Snare..promo kubwa kiwango kidogo ndio maana nyimbo zake hazikai.

sijui nikupe zawadi gani, mi mnilidhani niko peke yangu niliyeliona hilo dah ay kwisha habar yake ila anajitahid kung'ang'ania game
 
video kali sana ila lyrics ni ovyo kabisa hauna mvuto kabisa. sijui nani mtunzi wa huo wimbo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom