The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,614
Mzuka!
Nilipoiangalia hii video nimecheka balaa. Ni huko Sauz jambazi limeshuka kwenye gari kutaka kumpora mzungu badala yake akakabidhiwa madini ya lead kifuani na kutimka mbio ya hatari.
NB: Mmatumbi ni jina la utani la mtu mweusi humu jamvini.