Mmarekani mweusi auawa na Polisi mwanamke kwa kufuata kile Polisi alichokisema

Katika nchi kama marekani yenye watu wengi wa jamii mbalimbali wenye tabia tofauti tofauti ila ajabu mmarekani mweusi ndiyo huonekana anaongoza kwa uharifu kiasi cha kwamba hata mtu akisikia wameuliwa cha kwanza kufikiri inakuwa ni kwa sababu ya uharifu wao. Ila mie nafikiri rangi yao ndio inawaponza kwa kufanya wao waonekane zaidi sababu ya utofauti na rangi zengine ni kama doa jekundu kwenye nguo nyeupe tunawaona ni kama wahamiaji tu ambao wamehamia na tabia zao ambazo ni tofauti na wenyeji.
Mtazamo wangu tu.
 
SIPATI PICHA HUYO POLISI ANGELIKUWA NDIO MWARABU. MATUSI YANGESHUSHWA HUMU 😂😂😂 NADHANI ADI SASA ZINGEFIKA PAGE 100 😂😂😂
ILA HAWA NDUGU ZETU NIMEWANYOOSHEA MIKONO 😂😂
Jitu Zima ovyo, Tayari lishaingiza udini
 
Anabembelezwa kudondosha silaha anajishauri. Hawa kina Ngabu wakishaenda mafunzo ya judo wakamiliki na kamguu ka kuku wanajiona wapo mawinguni. Aje Bongo akutane na kina Muroto wanajisifia kuua mbele ya vyombo vya habari.
 
M nnavyoona ni kama alikamatwa akiwa unafanya tukio la uhalifu..
Lakini huyo police wa like alikurupuka kumshoot...ila jamaa nae alifanya kosa
Weka silaha chini si angeitupilia pembeni fasta badala yake anasitasita
Huyo Polisi wa kike alishaamua kumuua jamaa, kiutaratibu kama mtu ana silaha polisi humwambia alale chini na kutanua miguu na mikono ili wao waje kumnyang'anya.
Jamii ya wamarekani weusi ndio inaongoza kwa uharifu na mambo ya kupigana risasi kiasi cha kwamba polisi wanakuwa hawana imani nao sana hasa pale mniga anaposhika siraha.
Niggers wengi ni waharifu na ndo wanasababisha marekani ionekani siyo sehemu salama kuishi
Siyo kweli, wazungu ndiyo wanaoongoza kwa kupigana risasi
 
Huyo jamaa kakitafuta kifo mwenyewe kaambiwa mara kadhaa aweke silaha chini hakutii... Na alivyoamua kuweka askar alihisi anataka kuitumia ndio maana akamshoot
Sijaona kosa la askari maana jamaa kaamrishwa Mara nyingi lakn alikuwa hataki ..
Ingekuwa bongo hapa hata asingeamrishwa badala yake angetunguliwa Mara moja
Unaambiwa weka Bunduki chini mara 10????? Serious alafu unajidai kama unataka kuitoaaa... Bora hao wa Marekani wanakwambia weka bunduki chini bongoo ukihisiwa una cha motoo wafwaaa.... Uliza waliohisiw ni majambazi tu kilichowakutaa...
Kaambiwa mara nyingi sana aweke silaha chini lakini akadinda, muda anaoweka chini polisi kamuwasha..

Hakuna kosa hapo kwasababu, kama alikuwa hatii amri mda mrefu hivyo, akitisikika kidogo tu lazima polisi ahisi vibaya pengine angeshambuliwa yeye..

Jamaa kastahili alichopata, kama maiti zingekuwa zinaongea angeulizwa 'kwanini alikaidi amri ya polisi kwa muda mredu vile, ni usela ,kiburi au nini'.??
Hata kama angefanya hivyo yule mama alishaamua kumuua, angempiga risasi tu kivyovyote vile kwa kisingizio cha, "He was reaching for something in his pocket, and I felt threatened". Kumbuka hii ni South Carolina.
Sina muda wa kuwatetea hawa ndugu wengi wana viburi na wengi ni waharifu. Tusisingizie wazungu kila mara hapa Nipsey kauwawa na black mwezake.
You're so naive of what's really happening in the states.
 
itakuwa mi sijaona vizuri ila nahisi ni ngumu kumtupia lawama huyo askari moja kwa moja
 
Mpaka anapigwa risasi alikua na bastira yake mkononi. Anaambiwa weka chini yeye anataka kugeuka nayo.
 
Camera iliyokuwa kwenye mwili wa polisi wa jinsia kike imeonyesha video ya polisi akimpiga risasi mmarekani mweusi.

Raia huyo aliyekuwa na bunduki, polisi alimuamrisha kuweka chini chini siraha na jamaa akatii lakini mwanamama huyo alipomkaribia akampiga risasi na jamaa kufariki.

Maneno ya mwisho ya marehemu alimwambia polisi kuwa "uliniambia niweke siraha chini"

Link ya Video


Ila pamoja na haya makosa ya polisi black america waache maisha ya usela nondo.

Video inaonyesha ambavyo hakutii amri karibu mara tano. Wewe unafikiriaje. Na aliyekuwa analengwa ni mweusi mwenzie angekuwa mweupe tungejudge vingine. Drugs ndo zinawasumbua. Shule bure hata mpaka vyuo vikuu na wana upendeleo maalum kama hapa na wanawake na watu wenye ulemavu lakini wenyewe wanaona ujambazi ndo kazi.
 
SIPATI PICHA HUYO POLISI ANGELIKUWA NDIO MWARABU. MATUSI YANGESHUSHWA HUMU 😂😂😂 NADHANI ADI SASA ZINGEFIKA PAGE 100 😂😂😂

ILA HAWA NDUGU ZETU NIMEWANYOOSHEA MIKONO 😂😂
Nenda kwenye video uone jinsi waarabu wanzio wanavyotesa watu. Heri huyu alikuwa na bunduki akakakataa kutii amri. Mwanamke asiyakuwa na hata pini anabakwa kuanzia baba mpaka mjukuu na kumwagiwa maji ya moto ni sawa? Kwanza wenyewe kwa wenyewe mnaanza kukimbiana kama wale watoto wawili ambao wapo Georgia sasa.
 
Mutampingaje wakati mnajivunia anawaletea ARV, Nyinyi hamwajui hawa watu weupe, tuulizeni ss tunaoishi huku kwao, ingawaje hawatushindi sisi waafrika kwa unyama ila wengine wanatupita, INAWEZEKANA HAMJUI CHANZO CHA HUO UGONVI MNAANZA KUWALAUMU NIGGAZ, UKWELI ANAJUA HUYO MUUWAJI MWEUPE NA HUYO ALIEPIGWA RISASI ACHENI KUWASHABIKIA HAWA MASHETANI WEUPE WAUWAJI
Tuambie unaejua chanzo na hali halisi ya huko ili twende pamoja ndg
 
Nenda kwenye video uone jinsi waarabu wanzio wanavyotesa watu. Heri huyu alikuwa na bunduki akakakataa kutii amri. Mwanamke asiyakuwa na hata pini anabakwa kuanzia baba mpaka mjukuu na kumwagiwa maji ya moto ni sawa? Kwanza wenyewe kwa wenyewe mnaanza kukimbiana kama wale watoto wawili ambao wapo Georgia sasa.


Mitandao inawapotosha enyi wagalatia, cjui kwanini hamubadiliki! Kila cku waarabu, kila cku waislamu. Mnatabu sana ndugu zangu. ninyi ni wa2 wa aina gani lakini! Mbona mko different sana na cc waislamu! Hamuishiwi maneno. Ndiomana mabalaa na mikosi ni ninyi tu, huko kwa ndugu zenu wa kujipendekeza/ufaransa kanisa limewaka moto,huko kwa mikatili/wagalatia wenzenu afrika ya kusini jengo la ibada limelipuliwa na makafiri wenzao. Munateseka sana mjuwe! Badilikeni jombaa.
 
Nenda kwenye video uone jinsi waarabu wanzio wanavyotesa watu. Heri huyu alikuwa na bunduki akakakataa kutii amri. Mwanamke asiyakuwa na hata pini anabakwa kuanzia baba mpaka mjukuu na kumwagiwa maji ya moto ni sawa? Kwanza wenyewe kwa wenyewe mnaanza kukimbiana kama wale watoto wawili ambao wapo Georgia sasa.
Waarabu wakiuwa watu weusi mnasema ni kwa sababu waarabu wanaroho mbaya ila wazungu wakiwauwa mnasema ni kwa sababu blacks waharifu.
 
Back
Top Bottom