Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,936
- 19,129
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sofia Mjema amemtimua mwenyekiti wa mtaa wa Jangwani kwenye mafunzo ya ukusanyajiwa kodi ya majengo, baada ya kumjibu kuwa kuna watu wanapenda kuona wenzao wanakufa, ndipo mkuu huyo akamfokea na kumwambia hajitambui na kaumuru atoke nje,
Mwenyekiti huyo alijaribu kuomba msamaha lakini alimwambia aandike barua
Mwenyekiti huyo alijaribu kuomba msamaha lakini alimwambia aandike barua