VIDEO: Mjumbe wa Mkutano Mkuu (W) Kinondoni CCM apinga uteuzi wa Mtulia

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269


Anaitwa MacDonald Paschal Lunyilija.
Kadi no AB 1531040.

Ni Kati ya wanachama wachache wa CCM wanaojielewa, anapinga mchakato wa kuwapata wagombea wa Kinondoni na Siha.
 
wanzuki hajaribiwi huyo jamaa soon atafutwa uanachama maana jamaa anampango wa kuongeza muda wa kukaa madarakani
 
Safi sana,
watu wakiambiwa ni ngum mno kwa Tanzania kuwa ya ki communist hawaelewi..2020 ni karibu mno....
more are yet to come
 
Hoja ya mashiko itasikilizwa then atafutwe mwenye uzito Wa mwalim. Planned move
Atasikilizwa lini na mchakato wa kuwapata wagombea wapya utaanza lini wakati muda wa kuchukua fomu umeshaisha, hiyo ndiyo imetoka.
 
Polepole ameamua kama huridhiki na mfumo,hamia walipotoka hao mnaowalalamikia

Hizo ndio demokrasia za Afrika,zipo zaidi kwenye maandishi
 
Back
Top Bottom