Video: Mhe Zitto Kabwe akisoma ripoti ya kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali (PAC)

huyu hata facebook nilisha mblock,msaliti na mchawi mkubwa.
Na akitaka ajue aitishe mkutano ndo atajua amekwisha
 
Huyu jamaa ni kama mchawi tu hata siwezi kuangalia maana naona amebeba mabaya yote ya dunia hii...very foolish person!

Tatizo lenu mmekunywa maji ya bendera hamkubali ukweli,angekuwa zitto mchaga basi wote mngemuunga mkono,lkn kwa vile mwenyekiti wenu hataki kuachia kiti na kumsingizia uongo zitoo ndio wajinga wooote mnafuata mkumbo,angalieni uhalisia ulivyo,angalieni zitto alitaka kufanya nini na angalieni mboe alifanya nini ndio muhukumu zitto,lkn kwa hili litawakosti na chadema imekwisha,msijidanganye mkajiona kaskazini mpo wengi mkadhani na mikoa mengine mpo hvyo,hicho bado kitabaki kuwa chama cha ukoo na marafiki tu
 
huyu hata facebook nilisha mblock,msaliti na mchawi mkubwa.
Na akitaka ajue aitishe mkutano ndo atajua amekwisha

Usijidanganye wewe zitto hamumuwezi,na huo mkutano labda ufanywe kilimanjaro lkn mikoani zitoo anasapotiwa tu,chadema chama cha ukoo tu mmekwisha.
RIP CHADEMA:thumbdown:
 
“Sasa unaachaje kumsikiliza huyu na ukamsikiliza zaidi mtu ambaye hana sifa za kimageuzi katika ngazi ya kitaifa? Wanaozua tuhuma dhidi ya wenzao hawana hata miaka mitano ndani ya chama?
“Labda nikupe mfano mzuri. Hivi unategemea leo, CCM kwa mfano, eti akina Richard Tambwe Hizza, waanzishe mkakati wa kumng’oa kwenye chama mtu kama Kingunge Ngombale Mwiru kwa madai ni msaliti? Haya mambo yako CHADEMA tu,” alisema mwanasiasa huyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom