Video: Mhe Kikwete na Rais Magufuli walivyocheza muziki pamoja

Mheshimiwa Kikwete Mtoto wa Mjini, anamstua Rais Magufuli wanyanyuke kuyarudi.

Mheshimiwa Kikwete fulu kujiachia, Rais Magufuli anashindwa kujiachia.

Rais Magufuli yaelekea ni Mtu wa aibu aibu.

Inaelekea enzi zake za ujana Rais Magufuli hakuwa Mtu wa kwenda Club
 
Halafu hapo mwanzoni mbona Rais Magufuli anampa mkono Mheshimiwa KIKWETE, cha ajabu Mheshimiwa KIKWETE amepoteza.

Hii ya kupoteza imekaaje!
 
hapa kazi tu mtamiss sana tuu lakini muda ndio unadetermine ukipita imetoka
hata enzi za mitume walikuwepo watu wazuri wakapita hatuwezi gombana na wakati tuangalie yaliyopo na yajayo
Hapa kazi tuuu
 
Usiwe mjinga hikivyo mtoto weweeeee, hakuna mtu mwenye akili timamu akataka kufanana swagga na watoto wake, sasa nani baba na nani mtoto hapo? Umeshasema Kikwete anafanana kucheza na watoto wake.....kwa hiyo ulitaka Magufuli akate viuno kama watoto wake? Weee mpuuzi sana.
Wote wawili (Mheshimiwa KIKWETE na Rais MAGUFULI) wamejimwaga kuburudika.

Kinachozungumziwa hapa ni kuyarudi kwao.

Kwa jinsi walivyoyarudi Mheshimiwa KIKWETE katisha sana, yaani funika Bovu.

Sasa wewe unachomshambulia Mdau ni nini?

Au hukuiangalia VIDEO!

Umechangia Mada kwa kupitia Michango ya Wadau!

Sioni sababu ya wewe kumshambulia huyo Mdau Pohamba
 
Mheshimiwa Kikwete Mtoto wa Mjini, anamstua Rais Magufuli wanyanyuke kuyarudi.

Mheshimiwa Kikwete fulu kujiachia, Rais Magufuli anashindwa kujiachia.

Rais Magufuli yaelekea ni Mtu wa aibu aibu.

Inaelekea enzi zake za ujana Rais Magufuli hakuwa Mtu wa kwenda Club

Kaja Mjini Rasmi kuishi 1995alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na kabla ya hapo alikuja Mjini Mara ya kwanza kujiunga na Chuo na baada ya kumaliza Masomo akarudi kwao Sengerema sijui Chatto!
 
Kaja Mjini Rasmi kuishi 1995 alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na kabla ya hapo alikuja Mjini Mara ya kwanza kujiunga na Chuo na baada ya kumaliza Masomo akarudi kwao Sengerema sijui Chatto!
Ndio maanaaa!

Kuuumbeee
 
Kweli wewe ni mtoto....Magufuli ni rais siyo msanii kama Kikwete. Kuna usanii na maisha ya kweli. Magufuli lazima awe ana act as a president in public kuendana na wadhifa wake, sasa aje adharani na kukata viuno si hata wewe mwenyewe utamdharau? Angalia Kikwete jinsi wabongo fleva walivyokuwa wanamdharau mpaka wengine wakadiriki kumuita mshua na kutomtilia maanani anapo zungumza.

Hakika huwezi kujua Thamani ya Ulichonacho mpaka kikutoke.

Ahsante sana Bibie FAIZA.

Siwezi kuidhulumu Nafsi, Hiki Kibao ulichokiweka huwezi jua ni jinsi gani ulivyoisuuza Roho yangu.

Kwa mara nyingine tena,

Ahsante sana
 
Wote wawili (Mheshimiwa KIKWETE na Rais MAGUFULI) wamejimwaga kuburudika.

Kinachozungumziwa hapa ni kuyarudi kwao.

Kwa jinsi walivyoyarudi Mheshimiwa KIKWETE katisha sana, yaani funika Bovu.

Sasa wewe unachomshambulia Mdau ni nini?

Au hukuiangalia VIDEO!

Umechangia Mada kwa kupitia Michango ya Wadau!

Sioni sababu ya wewe kumshambulia huyo Mdau Pohamba

Bado utoto unawasumbua....mtu kama rais hata kama unajuwa kucheza magoma, huwezi kuja hadharani na kuyaruka vile utakavyo....ni lazima utatumia busara kwani hauko pale kwa ajili ya kucheza na kujitoa ufahamu.....unaelewa hii au?
 
Usiwe mjinga hikivyo mtoto weweeeee, hakuna mtu mwenye akili timamu akataka kufanana swagga na watoto wake, sasa nani baba na nani mtoto hapo? Umeshasema Kikwete anafanana kucheza na watoto wake.....kwa hiyo ulitaka Magufuli akate viuno kama watoto wake? Weee mpuuzi sana.

Povu
 
Binafsi, simfikirii Kikwete na sijawahi kummiss hata siku moja. Kaondoka madarakani na tumeona uozo aliokuwa anaufuga mpaka nchi ikawa inachezewa na wapuuzi. Anayemfagilia Kikwete lazima alikuwa ananufaika na ujinga aliokuwa anaufuga, aende zake huko Msoga, tunataka Tanzania ya viwanda si ya wauza unga na wachina wafungwa wanaoletwa huku Bongo kuja kuwekeza kuuza kahawa misikitini na kuchoma mihogo mtaani.
 
Hapo NIMEONA kitu tofauti. Kikwete ALIUKATAA Mkono wa Magufuli...... Kwa STAILI ile ile ule wa Sheini ulivyo kataliwa Zanzibar..
 
Bado utoto unawasumbua....mtu kama rais hata kama unajuwa kucheza magoma, huwezi kuja hadharani na kuyaruka vile utakavyo....ni lazima utatumia busara kwani hauko pale kwa ajili ya kucheza na kujitoa ufahamu.....unaelewa hii au?
Kwahiyo ukiwa Rais kwa unavyofikiria wewe haitakiwi hata kujiburudisha!

Haitakiwi hata kufanya utani au kamzaha fulani!

Busara gani unaijua wewe!

Na hawa ntakaokuekea hawana Busara?

Jionee mwenyewe
 
Back
Top Bottom