Slas Nature
Member
- Oct 18, 2013
- 36
- 72
Kama iliwezekana kukopi staili za kucheza basi iwezekane na kukopi mambo ya kimaendeleo kwa wengine
hahaha sure mkuuHuenda kizazi hiki kisipate Rais Mjanja Mjanja Kama Jakaya, style ya kucheza kwake si za Wazee wenzie ni zile za Watoto wake kina Ridhwan.
Huenda kizazi hiki kisipate Rais Mjanja Mjanja Kama Jakaya, style ya kucheza kwake si za Wazee wenzie ni zile za Watoto wake kina Ridhwan.
Usiwe mjinga hikivyo mtoto weweeeee, hakuna mtu mwenye akili timamu akataka kufanana swagga na watoto wake, sasa nani baba na nani mtoto hapo? Umeshasema Kikwete anafanana kucheza na watoto wake.....kwa hiyo ulitaka Magufuli akate viuno kama watoto wake? Weee mpuuzi sana.
Mbona una hasira hivyo?
Hapa Hatuzungumzi Siasa tunazungumzia Uchezaji wa Music tu!
Sometime pumzisha akili ukiwaza sana Maisha utachosha Bandama zako haraka , Kama kupata utapata tu
Kweli wewe ni mtoto....Magufuli ni rais siyo msanii kama Kikwete. Kuna usanii na maisha ya kweli. Magufuli lazima awe ana act as a president in public kuendana na wadhifa wake, sasa aje adharani na kukata viuno si hata wewe mwenyewe utamdharau? Angalia Kikwete jinsi wabongo fleva walivyokuwa wanamdharau mpaka wengine wakadiriki kumuita mshua na kutomtilia maanani anapo zungumza.
Mr Handsome.Huenda kizazi hiki kisipate Rais Mjanja Mjanja Kama Jakaya, style ya kucheza kwake si za Wazee wenzie ni zile za Watoto wake kina Ridhwan.