VIDEO: Mbunge Charles Mwijage (CCM) apigwa mawe, mkutano wake wavunjika

hahahaha,haya ndo matatizo ya wabunge wa tume ya uchaguzi,nec,...sidhani kama kuna mtu alimchagua hapo
na bado,ngoja chadema waendelee kuwapa ujasiri watanganyika
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hapa Ushauri kwa Mweshimiwa ni kwamba wananchi hawako nae tena, cha muhimu abadili style yake ya Uongozi au ajivue gamba. Kwa uhakika 2015 uyu sio chaguo la watu na nina wasiwasi kama alipita bila kuchakachua.
 
Bado wale kusema hoja imepitaaaaaaaa bila hata kujua hoja yenyewe inasema nini.

Wananchi next time nahao muwape kibano wakija huko majimboni. Mpaka wanasiasa wajifunze kuelewa nini maana ya uongozi wa wananchi. Dawa ya viongozi na serikali zisizo penda kutoa haki ndo hii peoples power!

Nimewapenda wazalendo wa nyumbani kwetu BK tena kwenye jimbo alilozaliwa mama yangu.
 
Huyu bwana mashauzi wamemtimua baru! Duuh kweli kuna maeneo hawana maana
 
Ukiona wananchi wanapandisha jazba kiasi hiki elewa mambo si mambo! Huyu alishinda kwa kishindo au 'kapachikwa'?
 
Kweli wananchi wameamka,

Star tv pia imetoa kipande cha newz hiyo, jamaa (mbunge) amebanwa mpaka ameshindwa kufanya mkutano kama alivyotarajia.

Tz kumekucha!
 
Hapa alot of conspirancies could be drawn.

Inawezekana ni mkakati pia wa Wapinzake wake kuhakikisha anakimbia hapo. Maana hadi mwenyekiti anahoji mbunge kutokuwepo pale? Lakini pia Mbunge mwenyewe anamatatizo kwanini hataki kutumia ofisi ile? Basi ajenge nyingine au anaamini Ushirikina? Pia huenda mbunge huyu alichakachua kura kutoka kwenye CCM kwenye au upinzani pia.


Wananchi wana haki kabisa ya kuhoji utendaji wa viongozi wao lakini hawana haki ya kuwapiga mawe. Kwenye suala la kujichukulia sheria mkononi si pa kucheka kabisa.
 
Sugu nae ajiandae.
Chama cha magamba ndicho kinachostahili kichapo kwa sababu ya kuendekeza blabla na pumba zao, wakati watu wanahitaji maendeleo.

WALIANZA KUMPOPOA JK MAWE MBEYA, SASA NI MBUNGE WAKE HUKO BUKOBA WAKATI UJAO NI MUKAMA KILIMANJARO.
USANII UENDEKEZWE KWENYE MIKOA YA VIJIWE VYA GHAHAWA. Ndiko watawapa usikivu.
 
Tatizo la Wabunge wa ccm a.k.a wa magamba wakishashika madaraka huwa na dharau sn na kuishi zama za umangimeza na kusahau asili,mfano aliwahi kuwa mbunge wa Arusha mjini Felix Mrema wananchi tulikuwa tukimuona kipindi cha uchaguzi(kampeni)tu kikishapita tunamsahau
 
Ukiona wananchi wanapandisha jazba kiasi hiki elewa mambo si mambo! Huyu alishinda kwa kishindo au 'kapachikwa'?

Asante mkuu kwa kuungansha sredi. Nilikuwa sijui kama imeshawekwa humu. Hii ni mara mara ya kwanza kuona mbunge anabanwa na watu wake kiasi hiki mpaka anashindwa kupumua. Kazi anayo.
 
Asante mkuu kwa kuungansha sredi. Nilikuwa sijui kama imeshawekwa humu. Hii ni mara mara ya kwanza kuona mbunge anabanwa na watu wake kiasi hiki mpaka anashindwa kupumua. Kazi anayo.
Mkuu unachoona kwenye video ni trela tu, picha lenyewe mwombe Mathias aandike asiweke video... Alikuwa eneo la tukio
 
Ni kawaida yao Mleba kuchakachua,kumbuka mr.ngaiza alivo chakachuliwa kura,kashaijabutege nikwo?
 
safi sana, hicho ni kitendo kizuri cha kuigwa na watu kwa watu kama hao wa ccm, dawa ni kupigwa mawe tu kwa kwenda mbele, ndio mambo yatakuwa mazuri.
 
Back
Top Bottom