VIDEO-Mbowe: Hatufurahii vurugu za Mtwara ila tunapongeza ujasiri wao

Ee Mungu nakuomba unipe uhai nikione chama hiki kikishika dola,naamini kabisa nchi yetu itabadilika mno jamani ccm chukueni mawazo haya muyatumie hii nchi yetu sote si kwamba CHADEMA inapigania kuijenga SOMALIA ni TANZANIA hii tuliopo.haya.....
 
Hotuba yake kwa ujumla ilikuwa nzuri na motivated ukiichukulia kwa hali ya uchanya bila kuweka mawazo potofu
Mungu ibariki cdm, mungu mbariki mbowe . Huyu akipewa nchi miaka 5 tu Tanzania inarudi kwenye ramani ya dunia
 

1.CCM kutokuwa na kamati kuu kwa kipindi kirefu tangia tupate uhuru sababu kutoamiana na makundi ndani ya chama chao.

2.Kampuni ya kinana kuhusika katika mchakato wa kuchimba gesi(wizi)

3.wazanzibari 1.5 milion kuwa na wabunge 75 kwenye bunge la muungano wakati Dar Es Salaam yenye wakazi 4.5 milioni kuwa na wabunge 6 tu ujinga mtupu wa serikali.

4.sera za majimbo ni njia nyepesi kuiondoa CCM madarakani 2015.

Umesahau kuwaambia CCM ni chama cha kisultani watoto na mke wa kikwete wanataka nini nec kama sio wizi mtupu.

Mwisho wa yote tenda ya gesi inazaa kundi la nne ndani ya mchakato wa mgombea urais wa CCM.
 
Wameshindwa kuunda kamati kuu na hii ni dalili ya kuwa CCM inakufa kwani inaendeshwa kinyume na katiba yake, nashangaa kwanini msajili wa vyama hajawaandikia barua kuwa wamekiuka katiba ya chama chao........
 
Mawazo yako mazuri sana sema sijui kama yatafanyiwa kazi hasa kujenga chuki na hasira dhidi ya hao mahabithi waitwao CCM.
 
yani hawa jamaa kweli wanajifangilia wenyewe tu...hii ni sawa na kusema sili kitimoto ila nakunywa mchuzi wake tu.
 
Natamani sana Ndugu Kinana ajibu hizi tuhuma...anticipation ya jibu lake kichwani mwangu "kampuni ni yangu ila tenda sikuomba mimi"
 
Back
Top Bottom