Video: Mawakili waishangaa Polisi kwa Lissu na dereva wake kutohojiwa; wadai wanaweza kuhojiwa hata kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano

Mnaamua kumtoa dereva na maelezo mpaka mtakapotaka nyinyi nasio polisi,mbona kipindikile cha nyuma mlikuwa hamji na hoja kama hizi? Mmejichelewesha mpaka ushahidi unaanza kupotea ndio mnakuja na usaka wenu, Acheni ulofa nyie chadema tumechoka na maigizo yenu ya futuhi.
Na polis watolee maelezo zile CCTV Camera ziliondelewa kihuni ili kuharibu ushahid
 
Kuku wako wako mwenyewe manati ya nini subiri.jioni ataingia bandani. Team ya polisi kwenda huko ni ghalama.haina haja maana kesi yenyewe haina uharaka tokana na walalamikaji wenyewe wanavyoipeleka kesi.
Sasa wanashindwa nini kwenda kuwahoji?

Kwanini hata Nairobi hamkwenda?

Na ni kwanini Polisi hawakumuhoji dereva wa Lissu pale hospitali ya mkoa wa Dodoma siku ile ya tukio?
 
Sasa wanashindwa nini kwenda kuwahoji?

Kwanini hata Nairobi hamkwenda?

Na ni kwanini Polisi hawakumuhoji dereva wa Lissu pale hospitali ya mkoa wa Dodoma siku ile ya tukio?
Kwa ni polisi waende ubelgiji? kwa nini Lisu na dereva wake wasije Tanzania kuhojiwa? Sasa hivi wote wazima Lisu na dereva waje wao Tanzania.Halafu Toka lini polisi wanapangiwa na mtu kuwa wamhoji wapi.Polisi ndio hupanga sio mtu kuwapangia
 
Kwa nini mnamficha dereva na kafikaje belgium bila passport ya tz?
Wamefanya hivyo maana intelijensia ya Chadema ilionyesha kwamba kwa sababu ya nia hovu ya kutaka kumuua Lissu basi mkimpata dereva wake mtahakikisha mnafuta hapa duniani ili kufuta ushaidi. Dereva na Lissu wanajua wauaji na ndiyo maana Lissu anawambia ni swala la muda kila kitu kitakuwa wazi. Kwa hiyo mnang'ang'ania kuhoji physical ili mmtoe roho na kupoteza ushaidi. sasa hivi ni mkimbizi wa kisiasa na haji na ndiyo maana aliweza kusafiri kwa passport ya Ubelgiji maana nia hovu ilishajulikana
 
Write your repl
in short, wasiojulikana walikua na mtazamo wa upande mmoja tu wa kuua, kwahiyo walichojiandaa nacho inawezekana ilikua ni kuhudhulia mazishi sababu walikua hawajulikani. dereva anadai alikuwepo mpaka siku ya ij'maa kwanini hakukamatwa ili ahojiwe? mwacheni mungu aitwe mungu, pasipo haki mungu anapiga upofu, anagandisha akili.
 
Hawawezi kuchunguza kwa sababu victims wote wanasema kuwa wamewaona waliowashambulia, sasa kama wameonekana halafu hizo sura zikawa ni watu ambao ni public figure maana yake tayari wametambulika, sasa uchunguzi wowote ule lazima watawataja kwa majina, huenda pia hata majirani na lisu nao walifanikiwa kuona tukio kupitia dirishani na wao pia watakuwa wamewaona, ndio maana inakuwa ni vigumu kufanya uchunguzi hata wa kuzuga itakuwa tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na polis watolee maelezo zile CCTV Camera ziliondelewa kihuni ili kuharibu ushahid
Lissu aliulizwa evidenc unayo? Ze zee you know zikawa nyingi sasa wewe ukiulizwa elezea ufahamu na cctv polisi alitowaje utajibuje?....inamaana makazi yao wakina lissu raia hawaingii? Kama mabenk yenyewe pamoja kuwa na askari wa ffu wenye bundu cctv nyingi stil wanaibiwa tuu. kila kitu ni timming mzee ukisha pangiwa mchongo ni ngumu kuchomoka. huwezi kuja na hoja moja kwa moja na kuishutumu polisi na uhusika .....kama polisi wenyewe walivamiwa vituoni pamoja na ulinzi wote kuanzia getini lakini wakauliwa polisi na bunduki zikaibiwa.na hao ni raia wenye uwelewa wa nini wanachokifanya.ata raia mwenyewe unayemuona nimwema naye anaweza kuwa nimafia tuu.
 
Lissu aache ungese kama yeye anawajua waliotaka kumuua sasa alialia nini kuhusu upelelezi wa kesi yake? Akae kimya kama majina anayo mfukoni mwake asituchafulie nchi ......shwaini kabisa.
Wamefanya hivyo maana intelijensia ya Chadema ilionyesha kwamba kwa sababu ya nia hovu ya kutaka kumuua Lissu basi mkimpata dereva wake mtahakikisha mnafuta hapa duniani ili kufuta ushaidi. Dereva na Lissu wanajua wauaji na ndiyo maana Lissu anawambia ni swala la muda kila kitu kitakuwa wazi. Kwa hiyo mnang'ang'ania kuhoji physical ili mmtoe roho na kupoteza ushaidi. sasa hivi ni mkimbizi wa kisiasa na haji na ndiyo maana aliweza kusafiri kwa passport ya Ubelgiji maana nia hovu ilishajulikana
 
Lissu aache ungese kama yeye anawajua waliotaka kumuua sasa alialia nini kuhusu upelelezi wa kesi yake? Akae kimya kama majina anayo mfukoni mwake asituchafulie nchi ......shwaini kabisa.
Ungese naona unao wewe unaodhani kwamba mtu ameponea kufa na hakuna linalofanyika baada ya kumnyima matibabu, baada ya kushindwa kuwakamata waliotaka kumuua, walioondoa kamera na walinzi wa siku hiyo na wanataka arudi wakati bado yuko kwenye matibabu. Wamemtumia ticket ya kurudi, watalipia bill za matibabu, je watamlipia ticket ya kurudi Ubelgiji kumalizia matibabu. Wanategemea awasifie kwamba mlifanya vizuri kutaka kunitoa roho?
Je ungekuwa wewe ungeimwagia sifa nchi inayotaka kukutoa roho yako? Sasa nikikwambia una ungese utabisha?
 
Sawa demu wake lissu.

Back
Top Bottom