Video: Mawakili waishangaa Polisi kwa Lissu na dereva wake kutohojiwa; wadai wanaweza kuhojiwa hata kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano

Mtakalia majungu tu miaka yote npaka mzeeke, mkizidi sana mnasukumwa nyuma ya nondo kame ze chair of all times Mbowe
Majambazi na mauji yanajulikana na ipo siku yatawajibika kwa ushetani wao.
 
Mtasubiri miaka 4000 hilo halitatokea pamoja na njama zenu za kwenda msituni. Madaraka anapanga mwenyezi Mungu.
madaraka Mungu hupanga lakini akiona kichaa anapeleka nchi kubovu anarudisha kwa wenye heri washamba wafisadi wakubwa nyie mupangiwe na Mungu nchi munaiba hadi trillioni 2.4
 
madaraka Mungu hupanga lakini akiona kichaa anapeleka nchi kubovu anarudisha kwa wenye heri washamba wafisadi wakubwa nyie mupangiwe na Mungu nchi munaiba hadi trillioni 2.4
Yamelaniwa hayo majitu mbinguni na duniani.
 
Sijawahi ona au sikia mtu anahojiwa kienyeji namna hii.
Umapomuhoji mtu, physical presence, kuongea nae face to face na kumsikia hata anavyovuta pumzi ni muhimu zaidi. Kwenye video conference au njia nyingine hupati true coorperation.
Wenzio wameweka vifungu hapo we unacheza kidali po!
 
ndio maana visingizio haviwaishii.
nakumbuka ile kesi ya balozi wa tanziani italy mashahidi walihojiwa kwa njia ya mtandao hukohuko waliko na mambo yakaenda poa tuu.
 
madaraka Mungu hupanga lakini akiona kichaa anapeleka nchi kubovu anarudisha kwa wenye heri washamba wafisadi wakubwa nyie mupangiwe na Mungu nchi munaiba hadi trillioni 2.4
Mungu hadhihakiwi jombaa be careful
 
Sijawahi ona au sikia mtu anahojiwa kienyeji namna hii.
Umapomuhoji mtu, physical presence, kuongea nae face to face na kumsikia hata anavyovuta pumzi ni muhimu zaidi. Kwenye video conference au njia nyingine hupati true coorperation.
sheria inaruhusu pilisiccm wawafuate waliko kuwahoji wanahanya nini
 
kama bbc, dw waliweza kumhoji akiwa Hosp. Kwanini jeshi lilishindwa kwenda kumhoji?? Miezi minne Kenya unashindwa kwenda kumhoji kweli? Kabla ya hats kuhoji zile kamera zilienda wapi? Kwanini walinzi walokuwa zamu hatusikii kama wamehojiwa labda wangesema Fulani alituambia tutoke kidogo wafanye asesinesheni hahahaa...tunawauaji wajinga asee lazima fom foo walizungusha hasa plana
 
Mungu hadhihakiwi jombaa be careful
bashite bwana who are you unajidai sana wewe kikaragosi munuka damu za watu wakati watu wanakulia timing unapenda sana kutisha watu i have told you you will never turn forty your just a ghost satan miili yote uliyoiwaisha kuondoka duniani ndivyo nawe utavyowahi
 
Mtakalia majungu tu miaka yote npaka mzeeke, mkizidi sana mnasukumwa nyuma ya nondo kame ze chair of all times Mbowe
nyie muliomsukuma Mbowe nyuma ya Nondo ndio munahangaika yeye anakomboa taifa hajajifunza kunya kwenye vyoo vya kuvuta ukubwan amezaliwa anaogelea raha lakini he has devoted his life to serve this nattion hangaika wewe unayedhani itambadirisha kitu mshamba wa karomije chakula cha watu mpuuzi mkubwa hivi GSM wameacha kukulegeza
 
Sijawahi ona au sikia mtu anahojiwa kienyeji namna hii.
Umapomuhoji mtu, physical presence, kuongea nae face to face na kumsikia hata anavyovuta pumzi ni muhimu zaidi. Kwenye video conference au njia nyingine hupati true coorperation.
Wewe ni mtu wa ajabu sana!..hii njia inatumiwa na mataifa kadhaa na imesaidia sana katika kukusanya ushahidi uliofanikisha kutatua mashauri kibao. Huu ndio ulikuwa msingi wa kupitisha sheria hii ktk bunge la Tanzania. We jogoo_dume unaishi wapi!
 
Labda ushahidi wa civil case ndio wanatumia hiyo kitu.
Hii sio ishu ya ustawi wa jamii, ni mtu kutoq ushahidi wa assassination attempt. He's numero uno witness!
 
Sasa wanashindwa nini kwenda kuwahoji?

Kwanini hata Nairobi hamkwenda?

Na ni kwanini Polisi hawakumuhoji dereva wa Lissu pale hospitali ya mkoa wa Dodoma siku ile ya tukio?
Police walipanic na hawakuwa na plan B, wao walijua Lissu atauwawa tu.
 
Back
Top Bottom