Video: Matumizi Sahihi ya Usukani Kugeuza Gari

Ozzanne Issakwisa

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
288
240
Madereva wengi hawajui kutumia vizuri usukani.

Video hii inaonesha njia nzuri zaidi kutumia usukani, unapotaka kugeuza mwelekeo.

Si sheria, lakini inapendeza zaidi.

 
Ni Kweli inapendeza lakini mazoea ndugu yangu! Hiyo itanichelewesha halafu kujifunza hiyo itanifanya akili yangu iconcentrate zaidi Kwenye steering nitasahau mirror zangu bure! Ila nitaanza kuifanyia mazoezi Mdogo Mdogo !
 
Duh hii ni kwa wale kwenye gari zenye ubora,kwetu sie wengine hiyo play ya usukani inakulazimu saa zote unahangaika na usukani na hizo barabara zetu sasa
Chukulia kipande cha Mlandizi mpaka Chalinze na hizo pozi za kushika usukani hivo si utajikuta upo pembeni ya barabara AMA umeiingia gari ya upande mwingine
 
Back
Top Bottom