Video: Matatizo ya kuzipa nguvu za dola nguvu za kupitukia

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
6,380
5,871
Huu mkasa umetoka sehemu fulani hapa Dar,Polisi wamepewe nguvu kupita kiasa sasa badala kulinda wananchi na mali zao na wao kuwa ndio wa kulinda sheria za nchi sasa wao Polisi ndio wamekuwa wavunjaji wakuu wa sheria..

Hichi kisa Polisi waliitwa kuwakamata watu waligonga ukuta wa nyumba lakini wao baada ya kufika ehemu ya tukio walianza kumpiga mwenyekiti wa mtaa na mke wake..,na kumimina zaidi ya risasi kumi na mbili sehemu ya tukio

Inasikitisha sana

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana
 
Huu mkasa umetoka sehemu fulani hapa Dar,Polisi wamepewe nguvu kupita kiasa sasa badala kulinda wananchi na mali zao na wao kuwa ndio wa kulinda sheria za nchi sasa wao Polisi ndio wamekuwa wavunjaji wakuu wa sheria..

Hichi kisa Polisi waliitwa kuwakamata watu waligonga ukuta wa nyumba lakini wao baada ya kufika ehemu ya tukio walianza kumpiga mwenyekiti wa mtaa na mke wake..

Inasikitisha sana

Haya ndiyo ccm wanajivunia na kina kafulila, wema, na wenzao kuyaunga mkono!
 
Masha alisema vombo vya dola ni vyakwao, kwahiyo acha wavitumie
 
Huu mkasa umetoka sehemu fulani hapa Dar,Polisi wamepewe nguvu kupita kiasa sasa badala kulinda wananchi na mali zao na wao kuwa ndio wa kulinda sheria za nchi sasa wao Polisi ndio wamekuwa wavunjaji wakuu wa sheria..

Hichi kisa Polisi waliitwa kuwakamata watu waligonga ukuta wa nyumba lakini wao baada ya kufika ehemu ya tukio walianza kumpiga mwenyekiti wa mtaa na mke wake..

Inasikitisha sana

Polisi wa tanzania wana stress sana za maisha kiasi kwamba hawana uwezo wa kutumia fikra zao sawa sawa kupambana na matukio. Unaweza kuamini kuwa polisi anapambana na mwanamke ambaye hana hata jiwe mkononi?.

Hata hivyo acha raia waisome namba kwanza
 
Back
Top Bottom