chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
Huu mkasa umetoka sehemu fulani hapa Dar,Polisi wamepewe nguvu kupita kiasa sasa badala kulinda wananchi na mali zao na wao kuwa ndio wa kulinda sheria za nchi sasa wao Polisi ndio wamekuwa wavunjaji wakuu wa sheria..
Hichi kisa Polisi waliitwa kuwakamata watu waligonga ukuta wa nyumba lakini wao baada ya kufika ehemu ya tukio walianza kumpiga mwenyekiti wa mtaa na mke wake..,na kumimina zaidi ya risasi kumi na mbili sehemu ya tukio
Inasikitisha sana