VIDEO: Marekani yafanya maonesho ya Kijeshi nchini Korea Kusini

Ngoja nmpe kampany kim maana duh.
Techonology niliyonayo hata mmarekan hana, Awaulize akina kinjekitile enzi za mjeruman .
Teknolojia yko haiizidi yetu
bf21a7eb2aab2cf874569904ba5fcb7c.jpg
 
Unabakia kutuonesha filamu sasa, kama ni mwanaume ungemchokonoa tukajua, sio unajifanya unaenda kumpiga mtu halafu ukifika alipo eti unapiga pushup na vigema, ili iweje? Akuogope?
 
Iko njema sana hii. Higly sophisticated war technology hadi raha. Kiduku na yale malori yake ya kirusi ya mwaka 47 kazi anayo. Kitu cha kwanza kabisa atakachofanyiwa NK; dakika chache kabla vita haijaanza rasmi ni kukatiwa na/au kuvurugiwa mawasiliano yote kama wajenzi wa mnara ule wa Babeli. Baada ya hapo ni kichapo cha mbwa mwizi. Mkiona kiwiliwili cha Kiduku kikining'inia pembezoni mwa barabara ni ishara vita imekwisha na tumwombe Mola hatua hii ifikiwe haraka dunia iendelee kuwa mahali salama kwa binadamu. Inshallah.
George Bush pamoja na ubabe wake wote aliufyata, Obama hakujaribu hata kuleta propaganda, itakuwa huyu chizi?
Kama haogopi anasubiri nini?
Tangu lini tumeanza kusikia habari hizi?
US amekwama, yaliyobaki ni maigizo tu kama hayo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom