VIDEO: Marekani yafanya maonesho ya Kijeshi nchini Korea Kusini

Yote unayoyasema nimeyaona CNN na FOX had hayo maandamano. Saa nyingine acheni kuvionea na kuvisingizia vyombo vya magharibi.
Yaani hawa jamaa huwa wanaposema eti vyombo vya magharibi vina propaganda huwa nashindwa hata kuwaelewa...yaani hata sijua akili zao zinawazaga nini...Maana wanachokiona kwenye vyombo vya pro east ndio hivyo hivyo navyoviona CNN na kwingine....Ila kiuhalisia vyombo vya east vimezid prob sababu vinakuwa monitored na serikali kiasi kwamba wao wanabaki kusifia tuu...Tofautin kabisa na CNN.
Kitu hata kiwe -ve kwa US wao wataonge kwa uwazi kabisa..
Sasa subir kwa RT na wenzao kama watasema....
 
Iko njema sana hii. Higly sophisticated war technology hadi raha. Kiduku na yale malori yake ya kirusi ya mwaka 47 kazi anayo. Kitu cha kwanza kabisa atakachofanyiwa NK; dakika chache kabla vita haijaanza rasmi ni kukatiwa na/au kuvurugiwa mawasiliano yote kama wajenzi wa mnara ule wa Babeli. Baada ya hapo ni kichapo cha mbwa mwizi. Mkiona kiwiliwili cha Kiduku kikining'inia pembezoni mwa barabara ni ishara vita imekwisha na tumwombe Mola hatua hii ifikiwe haraka dunia iendelee kuwa mahali salama kwa binadamu. Inshallah.

Mkuu kabla ya kuropoka hivi umesikia Serikali ya Merikane ilichosema??? Wewe upo huku bongo unayaona malori ya kirusi ya mwaka 47, wakati watu wenye akili zao huko wameona huu mziki sio wa kitoto. Now wanatishia Sanctions, hivi NK kaanza leo kupewa sanctions???

Marekani ndembe ndembe kwa mnyoa kiduku.
 
US amesurrender, angekuwa hajasurrender angekuwa ameshalianzisha muda mrefu.
Mi nadhani wanaset namna nzuri ya kumpiga bila ya yeye kurusha hata kombola moja.....Ni swala la kusubiri....US hawashindwi wale na wameshasema "ALL OPTIONS ARE ON THE TABLE"
 
Mi nadhani wanaset namna nzuri ya kumpiga bila ya yeye kurusha hata kombola moja.....Ni swala la kusubiri....US hawashindwi wale na wameshasema "ALL OPTIONS ARE ON THE TABLE"
Mwaka 1990 nchini IRAQ US walifanywaje?
 
Mi nadhani wanaset namna nzuri ya kumpiga bila ya yeye kurusha hata kombola moja.....Ni swala la kusubiri....US hawashindwi wale na wameshasema "ALL OPTIONS ARE ON THE TABLE"
Kama hotuba za Trump unazisikiliza ungefahamu kama yote ni mikwara na kumpa pressure Kim akubali matakwa ya USA

Trump tokea kwenye kampeni mpaka juzi alisema atawa press Beijing wamzuie Kim na juzi aliongeza vikwazo kwa Kim

Kim hatovamiwa na usitegemee hilo ,Beijing ndio anashinikizwa hapo wam-control kim
 
Iko njema sana hii. Higly sophisticated war technology hadi raha. Kiduku na yale malori yake ya kirusi ya mwaka 47 kazi anayo. Kitu cha kwanza kabisa atakachofanyiwa NK; dakika chache kabla vita haijaanza rasmi ni kukatiwa na/au kuvurugiwa mawasiliano yote kama wajenzi wa mnara ule wa Babeli. Baada ya hapo ni kichapo cha mbwa mwizi. Mkiona kiwiliwili cha Kiduku kikining'inia pembezoni mwa barabara ni ishara vita imekwisha na tumwombe Mola hatua hii ifikiwe haraka dunia iendelee kuwa mahali salama kwa binadamu. Inshallah.
Mbona mbwembwe nyingi? Si ajaribu kumgusa aoene mbona anaogopa sasa?
 
Maonyesho ya ngwala hayo tu..sie tuna bunduki tunasubilia warushe zao
 
Marekani ndio mtu wa mwisho kwa sasa duniani.... Anaweza akasema anaomba lile jumba jeupe pale feri lihamishwe anataka kutengeneza choo na watu lazima waamishe.... Ukweli uko hivyo
 
Back
Top Bottom